jaffari odhiambo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 526
- 13
Jamani hawa wavutaji wa sigara mbona wanashindwa kuwa wastaarabu? Mvutaji wa sigara anapovuta haangalii hata mazingira aliopo maana kuna wengine hawatumii sigara lakini wao hata katikati ya watu wanavuta tu bila kujali. Kwa kweli hawa nawachukia sana kwa kitendo wanachokifanya bila kujali afya za wengine. Smokers tend 2 think that every1
like the smell of that ciggarete
they smoke,pliz we pitty u while u
smoke!
like the smell of that ciggarete
they smoke,pliz we pitty u while u
smoke!