mkuu acha utani bana kwnye issue serious, lakini sishangai maana kuna pombe inatengenezwa kwa miwa pande za lushoto maarufu kama BOHA, ni nzuri kushinda bia, na chupa moja 200/= tu.
Usufanye hivo bana,kama sigara tu zime kufanya ujitoboe uso mzima
bange si uta jichija? We isikie tu bange,si mchezo
Mbona hii italeta mvulugano sana what are irrelevant na relevant ones, to me a kidumu of MILK is irrelevant to a glass of beer. Chonde chonde serikali isipandishe bei ya hizi bidhaa sidhani kama watu woote wanaojaa vilabuni wakinywa bia ni wajinga.Pole boss,ni wakati wa ku-eliminate the irrelevant and amplifying the relevant
Hahaaaa, mkuu nahisi unatamani kumbembea masikio yake.....
Speaker i wish to join you a hand, hawa jamaa wanachangia budget kwa kiasi kikubwa sasa huo mkakati wako si unaweza kuleta distortion ya marikiti na mapato kupungua kwa kiasi kikubwa? maana watahamia kwenye zile ambazo hazitozwi kodi....hahahaaa
Bajeti hii tena sijui wataongeza bei?
mh,natamani bia moja iwe 5000/= na sigara iwe 3000/= :majani7:
Tungoje
mkuu acha utani bana kwnye issue serious, lakini sishangai maana kuna pombe inatengenezwa kwa miwa pande za lushoto maarufu kama BOHA, ni nzuri kushinda bia, na chupa moja 200/= tu.
Hahaaaa, mkuu nahisi unatamani kumbembea masikio yake.....
Speaker i wish to join you a hand, hawa jamaa wanachangia budget kwa kiasi kikubwa sasa huo mkakati wako si unaweza kuleta distortion ya marikiti na mapato kupungua kwa kiasi kikubwa? maana watahamia kwenye zile ambazo hazitozwi kodi....hahahaaa
Bajeti hii tena sijui wataongeza bei?
mh,natamani bia moja iwe 5000/= na sigara iwe 3000/= :majani7:
Tungoje
Uko sawa mkuu,tutaanza kupata banana za 700,lengo ni stimu tu hakuna kingine.
Dah,kumbe umeanzia mbali eh?
bora wewe una option ya chibuku,mwenzako nikisikia harufu yake tu
tumbo linajaa gesi
Starehe za watu hizo... Basi na kondomu ziuzwe 10,000/=!
Bajeti hii tena sijui wataongeza bei?
mh,natamani bia moja iwe 5000/= na sigara iwe 3000/= :majani7:
Tungoje
wapige vitambi kodi tu!! tumezidi kunenepeana
Sasa hapo umekwenda mbali Ngondya tafadhali.