da hivi mnafungua lini shuleeee!kwa hisani ya snowhite.......!!!!!!!!!!!!!!
snowhite alimuomba babu dark city afungue uzi kuhusiana na vivulana kuzidiwa na vibinti ujanja hadi kushindwa kuvishawishi kuvivua kyupi hadi kufikia kuja hapa jf na kulalamika eti dunia imevitenda
hii ni aibu kubwa sana kwa jinsia ya kiume
kwa niaba ya babu dc[ dark city ] nimeamua kufungua uzi huo ili maombi ya snowhite yatimizwe
kitu gani kimetokea hadi mapinduzi haya ya kijinga kutokea kwa hivi vivulana vya sasa kuzidiwa kabisa na vibint vya siku hizi?
Soma huu uzi hapa kwa msaada zaidi:https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/565670-this-life-is-unfair-why-always-me.html
haya ni majanga kabisa na ni laana kwa hili kutokea
nakumbuka enzi hizo hakuna kabinti kalikokuwa kanaweza kuhimili vishindo vyetu,nahisi hii ndio sababu hata vibinti hivyo kuamua kujiridhisha vyenyewe kwa vyenyewe[usagaji] hii nayo ni laana nyingine
siku mhizi kuna malalamiko mengi sana kuwa vijana hawawaridhishi wanawake,nyakati za nyuma haya hayakuwepo sijui ni shetani gani imeikumba hii jinsia adhimu ya kiume hadi kufikia wanawake kulalamika kiasi
ki ukweli niliposoma haya malalamiko ya snowhite nimejisikia vibaya sana
uliye chuo
mungu atusamehe na hii dhambi ya kijinga kabisa kwenye hii jinsia yetu
hivi vivulana vya leo ni vijana wa kesho ni wanaume wa keshokutwa.hili ni janga
kuna aina ya muziki ilikuwa sio ya vijana enzi hizo na ilikuwa inapendwa na wanawake lakini siku hizi imebadilika kuwa ni miziki ya hivi vivulana vya sasa,balaa gani hili
nyakati hizo vijana na wanaume walikuwa wanalelewa kiume hasa na ukionekana una vi tabia vya kike kike kama hivyo basi unaipata
ndio maana hata mashoga wanaongezeka siku hizi
au malezi ndio tatizo???????????
Aaaaaaaaarrrrrrrgggggggggrrrrrhhhhhhhhhhh !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mkuu wa kazi usihofu huyo jamaa anayekuambia wewe ni tatizo. Katika uzi wake nimegundua huyu mvulana uwezo wake na mfumo wake wa uchambuzi upo katika kiwango cha chini na ndio sababu kwenye uzi wake hajatoa maelezo ya kina. Mpe pole zake. Inaonekana huyu mvulana wakati anandika huu uzi alikuwa anacheza game kwenye laptoptatizo kubwa nimesema ni malezi,sasa we kama unafikiri mimi ni sehemu ya tatizo sawa....labda unanifahamu.
mkuu dublin, umegonga shule ya hatareeee. Full respect.
mimi nikitoa majibu yangu nitayaelekeza kwenye aya yafuatayo. FADHILA..................vijana wengi wanafikiri kwamba mapenzi ni fadhila. Kisa nilimfanyia hili na lile basi binti atanikubalia nia yangu. Hapa ninaona kuna hoja nzito ya kujadili. kwamba HIVI KWELI MAPENZI/PENZI/UPENDO NI FADHILA???.................. hoja yangu ya pili ningeilekeza kwenye swala Zima la EVOLUTION kwamba kama ambavyo dunia inabadilika basi watu hubadilika na pia matendo yao hubadilika. mabadiliko haya huwa ama -ve or +evolution na ether way kuna negative and positive yaania kuna -ve of the negativity and positive of the positivity, na pia positive ina -ve of the positivity na +ve of the positivity.....................................hoja yangu ya tatu ningeilekeza katika swala Zima la LACK OF FEELING RESPONSIBLE hakuna anayewaza kuwa responsible kwa lolote lile yaani hawajui kwamba jukumu la kuwa mkaka ni lao na jukumu la kuchonga ngenga ni lao. swala la nne ambalo nitaongelea hapa ni ULE UJUAJI WA WATOTO WA KIKE. yaani watoto wa kike siku hizi wako too aggressive kiasi kwamba vivulana huviogopa na ukweli hushindwa kuwa na konfo la kuwakabili. swala la tano ambalo ngelisemea ni TOO MUCH PREACHING OF WOMEN RIGHTS AND THE THEMES BEHIND THEM. yaani kuna mahubiri mengi sana ya haki za watoto wa kike kiasi kwamba wanaume wamekuwa very scary kuwaface na ukweli hili ndio kosa jingine ambalo watu ama kwa makusudi ama kwa kutokujua waliliova look. Litakuja kugharimu vizazi vijavyo kwa jins nionavyo mimi. naomba niishie hapa manake device ninayotumia bado sija imasta vyema na sion ikiniopa option ya kuacha aya. soory for too much writing bila kufuata taratibu za kiuandish.