dunia imebadilika kaka.....sasa mtu anakaa upanga anasoma tambaza/azania km nane atatembea vipi??malezi ndio muhimu sio kutembea km 8 wala kuchimba visiki....kuna watu wamekulia ushuani lakini ni wanaume ngangari tu....malezi ndio muhimu
Hivi hawajui kuwa hao wanaigiza?Hatukatai binti kupewa haki ya kutoa maamuli,lakim binafsi hawez kuniletea mambo ya masenge nitakapo kula mzigo,hata km ndio mara yke ya kwnz kukutana na mimi. Kwa ufupi tamthiliya zinawaharibu vivulana,hasa hv vnavyodhani kujiliza kw videmu ndio kula mzigo
Aisee kuna wamama kama mimi utaona ni bora kukaa na baba......So sad toto langu nalo linakaa na Mama yake, yani hii inaniumiza akili kweli.
Siwezi kuwa proud kuwa na mtoto wa kiume halafu falafala tu, tangu amezaliwa hata adha ya kutembea kwa mguu kwenda shule haijui wala daladala kwake msamiati.
Nakumbuka tuliosoma private secondary school kipindi chetu jembe na panga zilikuwa ni requirements muhimu sana wakati ukireport form one.
Kipindi cha Agriculture darasani ilikuwa ni dakika 40 tu the rest of day ni kukomaza msuli kwenye shamba la shule. Kweli Mwalimu JK original aliandaa umma.
Aisee kuna wamama kama mimi utaona ni bora kukaa na baba......
ha haaaa, hapana kabisa kuja kujilaumu baadae sababu nimeshindwa kutimiza wajibu wa malezi.Mimi je? Kuna akina baba wanadekeza watoto hadi kero.
siyo wa kiume pekee, hata wa kike. wote wanapaswa kupewa malezi yanayostahili....Malezi ya mtoto wa kiume ni ya kuzingatia sana
Ukilemaa utaona anaanza kurusha mikono.........[Mungu aepushe mbali]
Mkuu Eiyer hawa vijana wa siku hz binafsi nahisi hawapaswi kulaumiwa sana. Hapa shida ni malezi tu..........
Hebu jiulize mtoto anamuona baba anaanza kufanya kazi za nyumbani kama kupika, kufua, kudeki ....... eti kwa kisingizio cha kumuonyesha mama mapenzi au sijui ndio dhana ya kusaidiana.
Baba pakitokea tatizo nyumbani (Mfano; msiba) analia na kugalagala chini mpaka anabembelezwa na wanawake tena.
Mtoto wa form two hawezi kurudi nyumbani mwenyewe kutoka shule mpaka mama amfuate ukimuuliza utasikia (mumy she used to pick me...), mtoto hadi form four hana majukumu yyte nyumbani hata kukatia na kunyweshea fensi tu zaidi ya kucheza game kwenye laptop. Mtoto akichapwa shule tayari kesho yake ugomvi na walimu eti sitaki mtoto wangu achapwe!!!!!!!
Hapa mapinduzi ya maana yanatakiwa kufanyika aisee. Kabla ya kuwaita hawa machalii wajinga, tuache kwanza sisi wenyewe kufanya mambo ya kijinga. Tufanye mambo ya kiume haswa ili watoto waone wenyewe nafasi ya baba nyumbani. Tuwape majukumu hawa watoto na kuhakikisha wanaperfom.......yani ni mengi sana..........
siyo wa kiume pekee, hata wa kike. wote wanapaswa kupewa malezi yanayostahili....
siwezi kusema sasa binti yangu hapiki au kufanya usafi nyumba sababu kuna dada wa kazi.....
tulishagombana sana kwa hilo na nikamkomalia, kwa sasa ananishukuru mno.
unatakiwa unapokuwa kwako hata kama una msichana wa kazi basi usiwe mtu ambaye hujiwezi unategemea dada kwa kila kitu
Kila nyakati zina mambo ya kimalezi yanayomfanya mtu akajengeka kwa mujibu wa jinsia yake
Nyakati hizo hayo ndio yalikuwa baadhi ya mambo ya kumfanya kijana nwe imara
Hata leo yapo sana ya kumfanya kijana awe imara
Au huzijui?
Kama huzijui na wewe unaweza kuwa sehemu ya tatizo!
Kavulana hata kukunja uso hakajui
Binti ndio anakuwa anakaangalia usoni halafu kenyewe ndio kanaangalia chini
Unadhani kuna kupewa game hapo?
Tufanyeje yaishe haya mambo ya kibazazi?
Malezi ya mtoto wa kiume ni ya kuzingatia sana
Ukilemaa utaona anaanza kurusha mikono.........[Mungu aepushe mbali]