Wavaaji huwa Wana maana gani?

Wavaaji huwa Wana maana gani?

Hizo 90% huvaliwa na madereva.

Kuna siku nilimuuliza dereva mmoja wa long trip safari.
Bus - Dar--zimbabwe.

Akanambiya,

Hizi bangili zina madini ya Shaba.
Na madini ya shaba huzuia radi pamoja na mambo ya kishirikina.

Mfano madereva wa safari za usiku wanakutana na vingi sn.

Hiyo ndy kinga zao.
 
Yanavaliwa sana na Waafrika pia na Wahindi.

Ni Watu wa mizimu, jadi na mambo ya matambiko!

Zingine stori tu!
 
Hizo bangili zinakuwa haijaungwa moja kwa moja.

Kuna jamaa mtaani kwetu alikuwa ameivaa mkono wa kushoto na mkono wa kulia kavaa saa, akiwa kwenye pikipiki kuonyesha bwembwe akaweka mikono nyuma wakati pikipiki iko kwenye mwendo hatari ,si bangili ikaingiliana na saa,kibembe kutoa .

Nadhani kilichotokea wote mmekielewa.
Stori za utotoni hizo chalii.. tena kama ulikulia Moshi hii stori haiwezi kiw ngeni.. unatuchuza hapa kusema mtaani kwenu we jamaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umenikumbusha kuna siku bush nilimuona masai kapanda boda akiwa kavalia yale mashuka

Pikipiki ikiwa imechanganya na ule upepo uliotokana na speed, si ukafunua yale mashuka yakaingia kwenye spoketi ya mnyororo

Basi lile shuka lilivyo jiviringa pale kwenye spoketi likamrusha mita kadhaa kutoka kwenye pikipiki

Masai alitoa mlio fulani wa kilugha kuonesha hali ya hatari iliyo mfika
Uwiiii
 
Hiyo inaitwa lyuma linyonge,zimebeba maagano makubwa sana.Hujawi kuona kule vijijini mzee mzima kavaa hilo?unategemea yana fashion gani?
 
Madereva wa magari ya masafa marefu ndio wanazivaaa sana
 
Hizo bangili zinakuwa haijaungwa moja kwa moja.

Kuna jamaa mtaani kwetu alikuwa ameivaa mkono wa kushoto na mkono wa kulia kavaa saa, akiwa kwenye pikipiki kuonyesha bwembwe akaweka mikono nyuma wakati pikipiki iko kwenye mwendo hatari ,si bangili ikaingiliana na saa,kibembe kutoa .

Nadhani kilichotokea wote mmekielewa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom