Wavaaji huwa Wana maana gani?

Wavaaji huwa Wana maana gani?

Mia saba

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
255
Reaction score
390
Kuna aina ya bangili huwa zinauzwa na wamasai za copper Mara nyingi huvaliwa na wanaume, je huwa Zina msaada gani mwilini au hasara gani kwa mvaaji?.
Nawasilisha
 
16542573641404602048497816141790.jpg
 
Hizo bangili zinakuwa haijaungwa moja kwa moja.

Kuna jamaa mtaani kwetu alikuwa ameivaa mkono wa kushoto na mkono wa kulia kavaa saa, akiwa kwenye pikipiki kuonyesha bwembwe akaweka mikono nyuma wakati pikipiki iko kwenye mwendo hatari ,si bangili ikaingiliana na saa,kibembe kutoa .

Nadhani kilichotokea wote mmekielewa.
 
Dduuh. Ajali
 
Nipo Na Erick shigongo hapa anaomba namba na location yako
 
Wasema zinasaidia matarizo ya ganzi kwenye mwili.

Wanaopata stroke huvalishwa. Wengine wakiwa na pressure ya kupanda pia huwa wanavaa kusudi wasipate stroke.

Inamaana inamadini au dawa zozote za kuzuia presha au stroke?
 
Copper inaweza kuwa absorbed kupitia ngozi hivyo kuna mahali niliwahi soma kuwa ukivaa hizo bracelets za copper inasaidia kama mtu una maumivu ya viungo au misuli yanakuwa yanapungua.

Wanasema inasaidia mwili kutumia madini chuma na hivyo ku improve nerve functions.
 
Hizo bangili zinakuwa haijaungwa moja kwa moja.

Kuna jamaa mtaani kwetu alikuwa ameivaa mkono wa kushoto na mkono wa kulia kavaa saa, akiwa kwenye pikipiki kuonyesha bwembwe akaweka mikono nyuma wakati pikipiki iko kwenye mwendo hatari ,si bangili ikaingiliana na saa,kibembe kutoa .

Nadhani kilichotokea wote mmekielewa.
Umenikumbusha kuna siku bush nilimuona masai kapanda boda akiwa kavalia yale mashuka

Pikipiki ikiwa imechanganya na ule upepo uliotokana na speed, si ukafunua yale mashuka yakaingia kwenye spoketi ya mnyororo

Basi lile shuka lilivyo jiviringa pale kwenye spoketi likamrusha mita kadhaa kutoka kwenye pikipiki

Masai alitoa mlio fulani wa kilugha kuonesha hali ya hatari iliyo mfika
 
yale mashuka kwenye pikipiki ni hata sana
 
Bila shaka mwendo aliumaliza salama, akawahi kupumzika zake salama mahali pema kwa Baba Mola.
 
Back
Top Bottom