Tutoane tongotongo wakuu hizi kemikali zinatumika wapi na wateja wake ni akina nani wakuu?
Hizi ni kemikali zitumikazo kwenye migodi upande wa uchenjuaji wa madini sana sana madini ya dhahabu na wateja wake wengi ni watu wanaojihusisha na madini hayo..!!Tutoane tongotongo wakuu hizi kemikali zinatumika wapi na wateja wake ni akina nani wakuu?
mzee wa dhahabu huyuSulphuric acid (SO4) na Nitric acid (NH3) bei yake vp? ujazo kuanzia wa 1ltr+
Hapo nyingi hutengeneza sabuni. Acid ni kwa ajili ya matumiz ya kikemia zaidi mfano formaline kutunzia maiti, nkTutoane tongotongo wakuu hizi kemikali zinatumika wapi na wateja wake ni akina nani wakuu?
Acha kupotosha. Sio nyara za serikali ila kuziuza na kuzisafirisha lazima uwe na kibali cha mkemia mkuu... sulphuric, nitric, na hydrochloric acids zimeanza tena kuuzwa kienyeji? Nakumbuka zilipigwa marufuku kipindiki kile zilipotumika sana kama silaha za kuumizana; ni nyara za serikali.
Ata viwanda vya soft drinksTutoane tongotongo wakuu hizi kemikali zinatumika wapi na wateja wake ni akina nani wakuu?
Ile Benzoic Acid anayoweka Azam kwenye juice za embe mnayo?KWA MAHITAJI YA
🛢️Sulphuric Acid
🛢️Borax
🛢️Nitric Acid
🛢️Hydrogen Peroxide
🛢️Caustic soda
🔥cynide
Na Kemikali nyinginezo nyingii za
Viwandani
Migodini
Kilimo
Mifugo
Wasiliana nasi AquaGreen Ltd
,Wauzaji wa jumla na Reja Reja ,kupitia.
0754763364