Wauzaji wa freezers, Nahitaji

iron woman

Senior Member
Apr 22, 2013
147
19
habari ndugu
naomba mnisaidie kwa anayeuza freezers anipatie bei na picha kama inawezekana
 
maduka ya huku nilipo yako machache na bei juu sana naona bora kuagiza kutoka sehemu kwa choice ninayotaka
 
Mkuu ukihitaji friji ya kawaida, nishtue! Ninayo kubwa,ni kama mpya tu! Imetumika miezi mitatu tu bei ni 0692321070 Mbezi-Africana!
 
400,000/= tu Mkuu! Ina mlango Mdogo wa juu wa freezer na ule wa kawaida! YaanI ni bado mbichi kabisa, ukitaka kuiona usisite kupiga 0692321070.


Mkuu document zake za warant unazo...kama unazo nijulishe tufanye biashara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom