Nenda kariakoo hapo saba saba mtaa aliopo Sauli vipodozi na wengineo huyo nimemtaja ni mmoja wa wauzaji wa kipodozi ila hawezi kukueleza chochote kuhusu hiyo biashara hata ukienda madukani labda uangalie bidhaa wanazoleta ila hawawezi kukuambia kitu na pia mara nyingi wao hawapo wamewaacha wafanyakazi na ndugu madukani...