uzeebusara
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 657
- 513
Hanari zenu!
Nauza cm mbili kama ifuatavyo, zotw ni mali yangu kwa sababu nimenunua mpya
1. Samsung galaxy note 10 plus
Hii ina changamoto ya kioo ilianguka ikajigonga kwe.ye kona hivyo touch haifanyi kazi ila ukitumia peni inafanya kazi vema kabisa. Ina hali nzuri sana na rangi yake ni silva ya kung'aa. Bei 580,000 maongezi yapo
2. Samsung galaxy A11
Hii kama mpya bado ina hali nzuri sana haina kipengele imenyooka sana. Bei 280,000 maongezi yapo
Zinapatikana
Shaurimoyo na Kigamboni, Dar es Salaam
Kwa walio mbali waweza mtuma nduguyo kuja kagua na kulipa na kuondoka simu
Mawasiliano: 0659211222 na 0777777766 call/sms/whatsapp