A51Unatafuta simu aina gani? Njoo na offer yako nikutafutie.
Walioko Dar watanufaika zaidi.
Kazi ya dalali haina kufeli
Nitakutaftia mkuu
Mawasiliano wapi
SIMU INAUZWA
XIAOMI REDMI NOTE 8
4 RAM/64 STORAGE
18W ORIGINAL CHARGER BATTERY FULL IN TWO HOURS
EXTRA: BOX, EJECTOR
Used few months
PRICE: 320KView attachment 1781701
Wapi mawasilianoInfinix note 8i njoo tumalize biashar 330kView attachment 1774682View attachment 1774683View attachment 1774684View attachment 1774685
View attachment 1774688
Bado ipo?!Redmi note 9 (4g),rangi ya blue inauzwa
Storage 128gb,RAM 4.Chinese version
Clean as new ,haina mchubuko wowote .
Sababu ya kuuza ni kutka kupgrade kwenda kifaa kingine .
Bei 420,000 mazungumzo yapo.
Mawasiliano 0693057605 whatsap only.View attachment 1783830View attachment 1783832View attachment 1783835
Simu ipo mzee kama ilivyo yaaniBado ipo?!
watu wanapenda kuish na keyboardHizi tabia zenu za kutongoza watu online mtakuja siku moja. Mmpate mazombi bure ,unaanzaje kuishi kihisia na mtu mliyekutana nyuma ya keyboard bila kujua uhalisia wake
Ninayo hapa mkuu inamiezi miwili tangu itoke dukani. Nicheki pm or nipigie kwene 0676395633.
Mwenye iphone 6s plus GB 64 bei nzuri aje tuongee biashara
Boss ushapata?
Kama hujapata nnayo naibwaga kwa 390k very clean imetumika miez mitatu tu.
Nchek kwa namba hii 0687968594
Nilipata boss
Asante
Pumzika mzee, huchoki na mitanda0Nahitaji iphone 8 au 6s plus ,storage yoyote ile simu naihitaji kwa ajili ya kuweka apps mbili tu so storage siio kigezo
Nahitaji iphone 8 au 6s plus ,storage yoyote ile simu naihitaji kwa ajili ya kuweka apps mbili tu so storage siio kigezo
Njoo wasap kwa 0693057605Nnayo 6s plus 64gb 390k. Nchek 0687968594