Wauza smartphone tukutane hapa

Nauza tablet ya vodafone vfd 1100 iko katika hali nzuri mno,haina shida yeyote ni nzima kabisa kama unavyoiona kwenye picha,
inakwenda kwa bei ya 125,000 mazungumzo yapo,
Nipo mbeya mjini nicheki kwa 0767142928 karibu tufanye biashara.
Bado ipo ,wakuu karibuni.
 
Nauza iphone 8+ plus gb 64 ina crack kidogo kwa juu simu haisumbui kitu inapatikana kimara
IMG-20191202-WA0006.jpeg
IMG-20191202-WA0009.jpeg
IMG-20191202-WA0008.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simu inauzwa infinix hot 8 lite storage 32 Gb Ram 2Gb android 8.1 network 3G simu imenyooka sana bei laki moja na themanini / 180000

Mawasiliano

0719590756
0692792519
20200110_133627.jpeg
20200110_133605.jpeg
20200110_133634.jpeg
20200110_133648.jpeg
 
Mezani leo, kwa wale wapenzi wa Motorola na simu unique...

Motorola z2 Force
Ram 4 gb
Storage 64 Gb unaweza ongeza na memory card pia
Duo cameras
battery 2730 mAh
Front fingerprint
Unaweza install mods kwa nyuma ukaweka projector na mods zingine tofauti
Nipo Sinza kwa Remi
Bei ya kitanzania 300,000 /=
Second hand from Hong Kong
Text 0682521021 nitakupigia
mteja ni mfalme

(nimeweka mfano wa mods hapo chini, unaweza agiza hata Ebay)
IMG_20200111_121558.jpeg
FB_IMG_1578735254749.jpeg
IMG_20200111_121609.jpeg
Screenshot_20200111-123521~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mahitaji ya covers za simu za aina zote silicone na kawaida, vioo vya simu, matengenezo ya simu wasiliana na mimi. 0714 036595 whatsapp na simu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom