pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 4,643
- 3,020
Hivi kwa nini hizi iPhone mnauza bei kubwa sana ukilinganisha na specifications zake?
Simu screen 4" memory 8gb halafu haiingii memory card, laini moja, camera 8mp ya mwaka 2013 bado unauza laki 4?