Wauza smartphone tukutane hapa

IPhone 6 64gb bei tsh 500,000 maelewano yapo
0b7ac19b-7b08-4a10-a00e-559483e1ebc7.jpg
 
images(5).jpeg
mwenye hii blackberry classic aje tuvunje kwa NOKIA BANANA 8110 4G DUAL SIM FULL BOXED MPK RESET UKITAKA, ndio nimeandikia na ku upload hizi pics
images(2).jpeg
images(3).jpeg
Siuzi maana nikitaja bei yake kuna watu watasema 'bora nikanunue tecno spark au camon'
 
🆕🆕🆕🆕🆕🆕🆕🆕🆕
Pata Flash disk bora yenye uwezo wa kusoma kwenye Laptop, TV, Radio etc na kutunza mafile ya aina zote(video, audio, documents, softwares, games) kwa bei nafuu. Pia ni waterproof,mini and portable, ina key ring design

Brand Name: DM
Product Name: PD086

Bei: 32GB - 20,000

Call/Text/WhatsApp 0742968517

Location : Near Mkuki House, Gerezani - Kariakoo
https://wa.me/+255742968517
Follow us on Instagramn and Facebook : DM LIFE STORE


PD086-32G (5).jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom