Wauza smartphone tukutane hapa

Natafuta Galaxy Note 2 au Note 3 .Isiwe imetumika sana Iwe kwenye muonekano mzuri. Isiwe na michubuko sana.Mwenye nayo ani PM

http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/33bfd1eb40d7a707822a46fde8877704.jpg[/ING hii hapa mkuu ram 2gb, internal memory 16gb

Bei 230k inapungua

Nipigie 0717187586
 
Nauza note 2
Ram 2gb
Internal memory 16gb
Price 230k
Location dsm
Piga 0717187586
02244ec8c306033706733a447351a6c4.jpg
 
Nauza LG G5 used but in good condition.
RAM 4 GB
Internal 32 GB
Front camera 16 MP
Fingerprint scanner
Android 6
Bei 600.000.
Nipo Mbeya.
 
Nina Samsung Galaxy S5 nauza 250.Ina
Fingerprint
16gb
Ram 3gb
Made in Vietnam
Iko kwenye hali nzuri
ama kubadilishana na Samsung Galaxy Note 2
20170512_152735.jpg
 
Nina Huawei Ascend G610 nilinunua Tsh. 370000... Nauza Tsh. 180000 ni used. Ukitaka nitafute 0627403944 pia ukitaka na simu mpya bei chini ya bei za madukani kama tecno CamonCX pata kwa Tsh. 385000 na tecno zingine, J7 prime kwa 620000 zinauzwa 650000-700000 madukani.. Na simu nyingine... Nitafute kwa hiyo namba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom