Wauza smartphone tukutane hapa

Mimi nna samsung galaxy note 10.1( GT- N8000)...ni tablet yenye inchi 10.1. Internal memory ni 32 gb(usable ni 25.87 gb), 2gb ram na camera yake ya nyuma ina flash. Specifications nyingine zote ntazi-attach hapo chini for further references. Ipo katika hali nzuri sana, HAINA TATIZO LOLOTE na wala haina crack ya aina yoyote.

Inatumia sim card, Inapiga na kupokea simu kwa ufanisi mkubwa, inatuma message za kawaida na kadhalika(cellular + wifi). Bei ni tsh.730,000/=.Atakaeinunua hakika ataifurahia. Nipo mbezi dsm. 0713-925908. Karibuni sana wadau...
 
Hizo hapo chini ni complete specifications za samsung galaxy note 10.1 nliyoelezea post ya awali hapo juu. Bei ni 730,000/=

1436406552791.jpg
 
Natafuta galaxy note 4 au galaxy s5 mwenye nayo ani pm..niko jijini dar
 
Sony Experia iko sokoni.
Imetumika wiki 2 toka inunuliwe mpaka leo hii..

Bei: laki 2 na elfu 39 (Negotiable)
Location: Dar lakini inaweza kuwa shipped kokote kwa gharama zangu mwenyewe.(Ikiwa shipped price itakuwa fixed)
Call 0653811003 for fast track...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom