Wauza smartphone tukutane hapa

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
4,060
Points
2,000

safuher

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
4,060 2,000
Check ktk specs źa upande wa platform hapo uone hyo simu imetumia soc gan na chipset yake imepewa nm ngap. Urudi kwa s7 edge ambayo ina 14nm alafu battery 3600 iliperform vp upande wa charge. (Samsung sio wajinga ujue)
dah mkuu umeniacha, mimi kilaza san kwenye issue, a simu hizii dah..

ebu nielekeze hyo platform ni kitu gani na kina faida gani kikiwa kwenye simu mkuu ?

naomba nipe maujanja kiongoz asante

nm nikitu ganina kina faida gani ?

na hyo chepset nikitu gani na faida yake ipi ?

mkuu sikomoi nataka kujua mkuu
 

idriss

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Messages
631
Points
250

idriss

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2014
631 250
New Samsung Galaxy S10+ (128)

Color Black and White
Memory 128 gb
Ram 8 gb
5G Network

Price 1,550,000/- Tsh

Contacts 0652332255

Comes with 24 Month Warranty
A free Screen Guard and back cover
kreditcash_inst___BzuYfeMg0qY___.jpeg
shopifytz_mlimanicity___B2Lj_hhFWCd___.jpeg
IMG_20190829_060948_585.jpeg
 

Chance ndoto

Senior Member
Joined
Mar 8, 2017
Messages
102
Points
225

Chance ndoto

Senior Member
Joined Mar 8, 2017
102 225
Nauza laptop poa kabisa mpya. Ina invidia graphic card saafi sana kwa multitask. 2.3 million lenovo thinkpad
 

Attachments:

MKATA_UMEME

Member
Joined
Jan 21, 2018
Messages
7
Points
45

MKATA_UMEME

Member
Joined Jan 21, 2018
7 45
*sale sale sale sale*
brand iphone 6 plus
storage: 16gb
colour: gold/space grey
condition: brand new fulbox
price: 430k

brand iphone 6 plus
storage: 64
colour: gold/space grey
condition: brand new fulbox
price: 480k

Simu zinakuja na warranty ya mwaka mmoja delivery inapatikana. karib sana dukani

mawasiliano:
0679081945

tunaoatikana dsm maduka yetu yapo sinza mugabe, makumbusho kinondoni na kariakoo hivyo hivyo delivery ndan na nje ya dsm tufanya

madalali mnakaribishwa inbox kwa vilio
 

pandagichiza

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Messages
2,810
Points
2,000

pandagichiza

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2013
2,810 2,000
*sale sale sale sale*
brand iphone 6 plus
storage: 16gb
colour: gold/space grey
condition: brand new fulbox
price: 430k
brand iphone 6 plus
storage: 64
colour: gold/space grey
condition: brand new fulbox
price: 480k
Simu zinakuja na warranty ya mwaka mmoja delivery inapatikana. karib sana dukani
mawasiliano:
0679081945
tunaoatikana dsm maduka yetu yapo sinza mugabe, makumbusho kinondoni na kariakoo hivyo hivyo delivery ndan na nje ya dsm tufanya
madalali mnakaribishwa inbox kwa vilio
Hizi simu za iphone 6 haziishagi tu?
Hata kwenye sites kama ebay,aliexpress,amazon etc utakuta simu nyingi ni iphone 6
 

Forum statistics

Threads 1,356,910
Members 518,961
Posts 33,140,808
Top