Rweyemam105
Senior Member
- Sep 8, 2012
- 104
- 154
Hallo.
UGREEN NAS DXP4800 PLUS AVAILABLE FOR SALE[NEW].
Kama wewe ni Content creator, Photographer, Uko na studio, Office, uko na collection kubwa ya Movies pamoja Audio collection, unatakiwa kujipatia/nunulia NAS.
NAS ni kama Computa/SERVER ila kazi yake kubwa ni kwa ajili ya kutunzia kazi zako na ni mbadala wa Dropbox au Google drive, OneDrive, etc.
Unapokuwa nayo, unanunua HDD'S za Ukubwa kulingana na uwezo wako. Kisha unazipachika na kukonect na Router yako, kisha utaweza ku access Mafaili yako yote hata Picha, Movies/TV Series, CCTV footage zako popote pale ulipo duniani, as long as iko online.
NAS iko na kazi nyingi. Waweza search kazi za NAS HAPA JAMIIFORUMS, kwani nlishawahi elezea tena hapa Jukwaani.
KARIBUNI.
BEI: 2.565M
0715 240 140