Wauza smartphone tukutane hapa

PRINCEd

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
847
1,000
SAMSUNG J5 PRIME
RAM 2GB
ROM 16GB
CAMERA:BAC 16MP
: FRONT 8MP
BATTERY 26OOMah
BEI: Tsh 280,000/=
Contact: 0765321292

NB: Sijaweka picha coz ndo simu nnayotumiaa now
 

Raida911

Senior Member
Aug 6, 2018
145
225
Natafuta kioo cha s6 sumsung
nipo mwanza


BEI ZA DISPLAY (VIOO).
.
SAMSUNG (S) SERIES.
.
. TSH .
.
Samsung s3
Kioo 80,000. - SUPER AMOLED.
.
Samsung s4
Kioo 70,000. -TFT.
kioo 110,000.- SUPER AMOLED.
.
Samsung s5
Kioo 95,000.-TFT.
kioo 170,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s6
Kioo 180,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s6 Edge
Kioo-190,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s6 Edge Plus
Kioo-270,000.-SUPER AMOLED
.
Samsung s7
Kioo 190,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s7 Edge
Kioo-300,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s8
Kioo-380,000.-SUPER AMOLED .
.
Samsung s8 plus
Kioo-400,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s9
Kioo-400,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s9 Plus
Kioo-420,000-SUPER AMOLED.
.
. ********VIOO NI MPAKA UWEKE ORDER ALAF NDO NIAGIZE INATUMIA WEEK 2 MPAKA KUPATA KIOO CHAKO*************
.
.
PIA VIOO VYA SIM NYENGINE
TUNAAGIZA ...........iPhone,Huawei,Lenovo,Oppo,....Vivo,Xiaomi,Infinix n.k

ℕ𝔹; 𝕍𝕀𝕆𝕆 ℕ𝕀 𝕆ℝ𝕀𝔾𝕀ℕ𝔸𝕃, ℕ𝔸 𝕎𝔸ℝℝ𝔸ℕ𝕋𝕐 𝕐𝔸 𝕄𝕀𝔼ℤ𝕀 𝕄𝕀𝔼ℤ𝕀 𝟞

Tupigie/tutumie ujumbe mfupi (SMS). 0784757203.
#0784757203 .
LOCATION.
Kijichi, Mbagala kuu, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania.
 

halloperidon

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
1,940
2,000
iphone 7 plus 32gb bado mpya though imetumika 3 weeks bei laki 7 (700000) location Tanga sereous buyer aje pm
 

choupa moting

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
1,497
2,000
Mi nauza iphone 7
•Bei laki 5 punguf unaongea
•Iko fresh haina shida yoyote
•Ni GB 32
•Rangi ni rosegold
•Iko na USB cable.
•Inapatkana DAR.
0713806766 whatsapp or call.
eb57709b-bcf7-4f49-9e80-d174026cde3c.jpg
2e844618-30e4-4180-8268-69c60d7f2599.jpg
630b0eed-3d06-4eb5-8aa7-720d0644c8b0.jpg
 

mc gregor

JF-Expert Member
Mar 17, 2017
1,010
2,000
Mizigo ipo ya kumwaga kama mnavyoina.
Samsung s6 Brand new full boxed
Gb 32
4glte
Ram 3gb
Camera 16mp
Bei yetu ya offa kumaliza stock
Only 300000tsh
Dsm free delivery
Call 0716119347.
Mlimani city
a3f4137ca43b3779bd8573485f9641e9.jpeg
de69264f2b45d41efe1c8413a95a4c39.jpeg
fa47a4ebf2eab1da1178df45e5c34e86.jpeg
b2105f4d1d45239c0f791726164ce05f.jpeg
 

Vamosdm05

JF-Expert Member
Dec 4, 2018
322
500
Kuna j4 plus ipo pia..bei iko reasonable...ipo na box lake, charger yake original pa1 na Warrant yake if ua interested!
 

mc gregor

JF-Expert Member
Mar 17, 2017
1,010
2,000
Mizigo ipo ya kumwaga kama mnavyoina.
Samsung s6
Gb 32
4glte
Ram 3gb
Camera 16mp
Bei yetu ya offa kumaliza stock
Only 300000tsh
Dsm free delivery
Call 0716119347.
Mlimani city
IMG_20190802_165840_960.jpeg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom