Wauza smartphone tukutane hapa

Jamani natafta smartphone yoyote ya 60k Mwenye nayo anistue pm
Tafute 80k nikuuzie samsung galaxy trend ll mpya kabisa
1550779531851.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Nina laki na Nusu 150,000 nahitaji simu used ila iwe katika Hali nzuri nA isiwe imetumika Sana au mbovu .
NB Nipo songea ikiwa Samsung itapendeza zaidi
Nicheki pm kama unayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom