Wauza smartphone tukutane hapa

  • Thread starter Pritty wa joseph
  • Start date

Bailly5

Bailly5

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Messages
16,251
Likes
32,932
Points
280
Bailly5

Bailly5

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2015
16,251 32,932 280
Hahaha, huu mwezi acha upite kwanza
Huu mwezi usipokua makini waweza uuze kitu chako kwa bei ya ajabu unakuja kupata akili March au ukiwa umeshiba, huku mwenzako anakenuaa, waweza umtumie jini, mm bora mzigo unikodolee macho ila biashara ya kihindi sifanyi, kanuni ya njaa/shida ukiiruhusu tu basi inajenga mazoea, hapa ni kukaza, SISHUKI HUPANDI mwishowe utaitwa uzi wa mapicha picha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
babu sugu

babu sugu

Senior Member
Joined
Nov 9, 2018
Messages
106
Likes
38
Points
45
babu sugu

babu sugu

Senior Member
Joined Nov 9, 2018
106 38 45
INAUZWA
Infinix HOT 6 Pro X608 Dual sim
Storage 16gb | Ram 3GB
Network 4g | Display | 6"inches
Security | Fingerprint Sensor Face ID,
Camera | 13MP + 2MP LED flash
Selfie | 5MP front camera
Android 8.0 (Oreo)
Battery 4000mAh
Condition | usedlike new

230000/=
img_20190110_124651-jpeg.991599
fb_img_1547108724185-jpeg.991600


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jane Msowoya

Jane Msowoya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2017
Messages
1,912
Likes
2,354
Points
280
Jane Msowoya

Jane Msowoya

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2017
1,912 2,354 280
mzee tecno kila saa kuna toleo jipya, wateja wa tecno ndo wanaongoza kwa route pale Aggrey na likoma, Umetoka kununua Tecno K 9, upo kwenye daladala huko kiwandani washatoa K 9 Spark, unatia miguu home washatoa K 9 Spark Plus, huja anza hata kuinstall whatsapp Washatoa K 9 Spark Plus Air, mpk unamaliza kuweka dp/status tayar isiakua old model
Hahahaha noma mzee baba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tomaa Mireni

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Messages
666
Likes
453
Points
80
Tomaa Mireni

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2015
666 453 80
Tyrex

Tyrex

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Messages
1,027
Likes
988
Points
280
Tyrex

Tyrex

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2012
1,027 988 280
Kibajajitz

Kibajajitz

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
3,947
Likes
1,996
Points
280
Kibajajitz

Kibajajitz

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2013
3,947 1,996 280

Forum statistics

Threads 1,251,870
Members 481,917
Posts 29,788,401