Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,865
- 2,176
nina 200 cash mkuuIphone 5 inauzwa 250 tu ! Nicheki PM
nina 200 cash mkuuIphone 5 inauzwa 250 tu ! Nicheki PM
Hapana mkuunina 200 cash mkuu
Uko mkoa gan?Iphone 5 inauzwa 250 tu ! Nicheki PM
Nakupa 200k +samsung note1
iPhone 5s ya 16Gb kwa 400k. Nicheki 0689744752 if interested.
Uko mkoa gan?
Hizo zishatika copy mkuu og itakua umetupa hiyo simWakuu za majukumu,,?
Kuna hii simu hapa bado mpya nilinunua mama ameikataa ...anataka kdg
Ni tecno Phantonm 6
Internal storage in 32Gb View attachment 477438View attachment 477439inataka 250k...
Kk UKo maeneo gn tufanye biashara au nicheki [HASHTAG]#0786888161[/HASHTAG]kuna iphone 6 mpyaa yn haija ata chembe la mchbuko...imetumika wiki na cku 1....internal 64 gb.....bei 750k
wakuu techno h5 iposokoni. inataka 70000tu. haina tatizo lolote. inamiezi 2tokea itoke dukani. utapewa na phones sake kwa mawasiliano 0657469664??
Bado ipo hii simu??
Hiyo note II inaendaje mkuu.....Njoo nikupe samsung Note II
Vipi ushauza hii cm yako kiongozi? Kama bado nambie ni kiasi ganintufanye biasharaHabari zenu wakuu, nina sim aina ya LG NEXUS 5 imevunjika kioo cha touch. Nimetafuta k/koo maduka mengi hakuna ila kuna moja pale aggrey wanasema wanayo ila bei ni sh laki na nusu. Mimi sina hiyo pesa kama kuna atakayeihitaji jinsi ilivyo tuwasiliane pm.
Sent from my Nexus 5 using JamiiForums mobile app