Wauza smartphone tukutane hapa

sorry mkuu Kenya uliagiza kwa njia ipi? me nlikua nahitaji infinix zero 4 plus toka Kenya but sijajua naagiza vipi
Nliagiza online Mkuu, but infinix mbona naona kama vile zipo hapa Bongo.Kama zipo bora ununue hapa hapa maana kule wana shipping fee.
 
1.Redmi note 3 pro ukiipata Bongo wanauza bei sana,wengine wanaenda had laki 7.Mim nmeagiza hapo Kenya nmenunua 21,500ksh
2.Max nmeichek nliponunua wanauza 29,000ksh
MUHIMU:1ksh=22Tsh
Ahsante sana kwani hata mimi nahitaji hiyo kitu.Ngoja niagize kuna mtu wangu yupo Kenya.
 
1.Redmi note 3 pro ukiipata Bongo wanauza bei sana,wengine wanaenda had laki 7.Mim nmeagiza hapo Kenya nmenunua 21,500ksh
2.Max nmeichek nliponunua wanauza 29,000ksh
MUHIMU:1ksh=22Tsh
Mkuu redmi zinasappot 4g hapa kwetu?
 
Kuna TECNO C9 PLUS HAPA KWA BEI YA KUTUPA YA TSH.360,000/=

SIMU INA
32GB internal
3gb ram
13MP kwa camera ya mbele na nyuma na flash kote kote
2g,3g na 4g kwa line zote mbili
Display ni 5.5 inch.

Nicheki kwa 0716300091 anytime.
Parefu,inatofauti gani na ile ya kawaida?ukitaka nakupa mia3
 
samsung galaxy note 3
N7505
16gb storage
2gb ram
nipo arusha 0713558111
price 350k
IMAG0050.jpg
IMAG0051.jpg
IMAG0047.jpg
IMAG0045.jpg
IMAG0046.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom