Wauza mafuta kugoma

Wauza mafuta kugoma

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,362
Reaction score
4,934
Kuna sms nimetumiwa kuwa vituo vya mafuta kesho vitagoma rasmi kuuza mafuta baada ya kupokea barua ljumaa kutoka wizara ya nishati na madini kuwaelekeza washushe bei.
Nunua mafuta ya kutosha leo.
 
hawa jamaa yaani wanataka kutufanyia nini tena? Wamiliki wengi wa vituo vya mafuta ni viongozi wa ccm, naona wanataka kuendelea kupata super normal profit kila kukicha, hii ni hatari.
 
hizi ni siasa za CCM,huoni kuna kitu hapa,ona umeme una siku ngapi haujakatika,kuna siri nzito hapa.
 
hawa jamaa yaani wanataka kutufanyia nini tena? Wamiliki wengi wa vituo vya mafuta ni viongozi wa ccm, naona wanataka kuendelea kupata super normal profit kila kukicha, hii ni hatari.

Tutajie majina yao tuongee nao.
 
Niko na full tank apa!
Wanagoma nini sasa wakati daily wamekuwa wakitukamua!
Copy ya barua pls kama mtu anayo
 
<br />
<br />
Mansoor, mbunge kupitia chama cha magamba, Kwimba

Mwingine?, usiniambie huyo ana kituo cha mafuta Kwimba cha pump moja ndio iwe justification ya maneno haya "Wamiliki wengi wa vituo vya mafuta ni viongozi wa ccm"? Huoni hata haya hujui wala vibaya?
 
Mwingine?, usiniambie huyo ana kituo cha mafuta Kwimba cha pump moja ndio iwe justification ya maneno haya <font color="#0000ff"><font size="3">&quot;Wamiliki wengi wa vituo vya mafuta ni viongozi wa ccm&quot;</font></font>? Huoni hata haya hujui wala vibaya?
<br />
<br />
unataka wangapi kwani!?
 
Back
Top Bottom