Godwin peter
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 374
- 638
Kweli mzee hata kama asingejishika Wakati huo unajuaje alipoyatolea huko kajishika mara ngapi[emoji23][emoji23]Ndo maana unapaswa kwenda kulia nyumbani kwako ambako una udhibiti na mazingira yote, ikiwemo suala la usafi.
Unapokula nje unakuwa umelisalimisha suala la usafi kwa wengine ambao huna udhibiti nao.
Nunua chungwa fresh Nenda nalo home uoshe na kumenya mwenyewe.Mara nyingi jioni nikitoka kwenye mishe zangu napita kwa jamaa mmoja anauza machungwa nakula chungwa zangu kama tano hivi ndo nasepa getoβ¦Sasa leo nimepita nikachukua chungwa kama tano hivi nikakaa hapo hapo taratibu nikaanza kula sasa baada ya muda kidogo alikuwa anajukuna kwenye makalio tena ndani ya boxer yaani nilijisikia hovyo kweli yaani hadi tumbo likawa linaumaβ¦.uchafu tunaokula sio poa.
π Ubunifu mpya wa biashara ya machungwaYaani kuna mahali nilikuta wanaosha na sabuni ili eti yang'ae..View attachment 2846533
Ndo maana unapaswa kwenda kulia nyumbani kwako ambako una udhibiti na mazingira yote, ikiwemo suala la usafi.
Unapokula nje unakuwa umelisalimisha suala la usafi kwa wengine ambao huna udhibiti nao.