Wauza maandazi mnaupiga mwingi

Wauza maandazi mnaupiga mwingi

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,418
Jamani wale tunaopenda kununua maandazi tuwe tuna yabonyeza kabla ya kununua.

Kodi zimekuwa kubwa na tozo.

IMG_1098.jpg
 
😂😂😂😂 sasa mafuta ya kupikia yamepanda bei, ges na mkaa navyo vipo juu, unga sukari vyote vinapanda bei kila mwaka ila bei ya maandazi ipo pale pale kwann wasitafte mbinu ya kubalance nawao wapate faida.
 
1.Andazi lina vacuum.

2.Andazi limepanua mdomo kama samaki Papa (Shark) utadhani linataka kummeza mtu.

Wauza maandazi Mbingu mtaisikia tu.
 
Hilo ndilo andazi, ungetaka kisicho na uwazi ndani ungenunua wanachoita 'hafukeki'
 
Back
Top Bottom