Wauza laptop tukutane hapa

Hali ngumu kiongoz, nimejipinda kiume, ebu tupia properties zake. Vip chaji inakaa kwa muda gn?

Chaji inakaa mkuu....kitu kipya isingekuwa shida nisingeiuza hasa kwa bei hiyo trust me

Processor : Intel(R) Celeron CPU N3060 @1.60GHz
RAM : 4GB
System type: 64bit OS, x64-based processor
 
Nauza laptop..
Brand: sony vaio
Pro: 2.50
Duo
Hd: 250gb
Loc: mbagala
Price: 270k
Cont: 0687 089980.
 
380,000 kaka bei ya mwisho...kifaa kipya kabisa na dukani laki sita kiongozi...

Dukani laki sita lakini dukani mpya.

Haijalishi umenunua dukani miezi miwili nyuma au wiki iliyopita. Kitendo cha kutoka dukani inawezekana siku ile ile umeimwagia chai ya mdalasini. Na kitu cha mkononi hakina warranty. Usiongelee mambo ya dukani, hatuko dukani, tuko mtaani hapa.
 
Jaman mm nashida na betr ya laptop

HP 15-doo sia

Naomba kujua gharama na kama uko mwanza,shy an kahama tuwasiliane tafadhali

Betr yangu imeharbika baada ya kuuweka bila kuitumia kwa almost mwezi mmoja na nusu

Msaada tafadhali
 
Naomben kujua gharama ya Betri ya laptop

Model HP 15 _doo sia.

Kwa wauzaji tuwasiliane hasa me nipo kahama
 
Nauza hp envy core i5 4th gen, specs 8ram, 750hdd, processor 1.7, touch screen , inauwezo wa kujikunja 360 yaani kama tablet , INA windows 10
 
Niongezee kidogo ni 15.4 display, graphics card ni 4gb kwa wale wazee wa gaming na studio kazi kwao bei nataka 800k
 
Nahitaji Dell Latitude E6430. HDD isipungue 500 GB.
 
Nahitaji screen na screen cover +stand za screen za HP pavilion dm4-2070us 14''
 
200,000 nakupa cash
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…