Wauza laptop tukutane hapa

Wauza laptop tukutane hapa

Hali ngumu kiongoz, nimejipinda kiume, ebu tupia properties zake. Vip chaji inakaa kwa muda gn?

Chaji inakaa mkuu....kitu kipya isingekuwa shida nisingeiuza hasa kwa bei hiyo trust me

Processor : Intel(R) Celeron CPU N3060 @1.60GHz
RAM : 4GB
System type: 64bit OS, x64-based processor
 
Nauza laptop..
Brand: sony vaio
Pro: 2.50
Duo
Hd: 250gb
Loc: mbagala
Price: 270k
Cont: 0687 089980.
 
380,000 kaka bei ya mwisho...kifaa kipya kabisa na dukani laki sita kiongozi...

Dukani laki sita lakini dukani mpya.

Haijalishi umenunua dukani miezi miwili nyuma au wiki iliyopita. Kitendo cha kutoka dukani inawezekana siku ile ile umeimwagia chai ya mdalasini. Na kitu cha mkononi hakina warranty. Usiongelee mambo ya dukani, hatuko dukani, tuko mtaani hapa.
 
Jaman mm nashida na betr ya laptop

HP 15-doo sia

Naomba kujua gharama na kama uko mwanza,shy an kahama tuwasiliane tafadhali

Betr yangu imeharbika baada ya kuuweka bila kuitumia kwa almost mwezi mmoja na nusu

Msaada tafadhali
 
Naomben kujua gharama ya Betri ya laptop

Model HP 15 _doo sia.

Kwa wauzaji tuwasiliane hasa me nipo kahama
 
Nauza hp envy core i5 4th gen, specs 8ram, 750hdd, processor 1.7, touch screen , inauwezo wa kujikunja 360 yaani kama tablet , INA windows 10
 
Niongezee kidogo ni 15.4 display, graphics card ni 4gb kwa wale wazee wa gaming na studio kazi kwao bei nataka 800k
 
Nahitaji Dell Latitude E6430. HDD isipungue 500 GB.
 
nunua laptop yako ,,,itumie kwa kazi zako lakini ikianza kuleta usumbufu/ikiharibika ,,,nitafute mm
pia utapata accessories zote za laptop kwa bei nafuu zaidi
ram,ac powera adapter, hard disk drive, screen/display
g-power it solution +255 713 756 980

karibuni sana
Nahitaji screen na screen cover +stand za screen za HP pavilion dm4-2070us 14''
 
Mi niko na Hp elitebook 2760p, touch screen, sim card kw net unatumia, webcam, 4g ram, i5, kioo kinarotet na unewez kuifany km tablet, betry iko poa, inch 13, hdd 320. Unatumia pen kwkutach ila pen yak imenipotea, bei 480,000 bt ninay mm na nik nje so natarajia kuituma tz 05.06.2017 itakuw imefik, km unaihitaj ni pm.
200,000 nakupa cash
nauza hp Elitebook 2740p
processor i5-2410M CPU @2.30GHz
RAM 4GB
Pen Touch
screen rotate
juu ya screen kuna light kw ajil ya keyboard
web canera
finger print locker sensor
sound button touch
wi-fi
huhitaji modem maana ipo sehem ya kuwek laini na ina antenna
HDD 150, nawez nik change uitakayo
betri ni zaid ya masaa 2 na ina display light ya kuchekia amount ya chaji


bei ni 600,000.00 tsh, ila ni used lkn ipo km mpya
tumia, jizzokh@yahoo.com
268478-hp-elitebook-2740p.jpg
230263-hp-elitebook-2740p-top.jpg
230265-hp-elitebook-2740p-touch-screen.jpg
230259-hp-elitebook-2740p-touch-screen.jpg
230266-hp-elitebook-2740p-stylus.jpg
230255-hp-elitebook-2740p-card-adapter.jpg
230264-hp-elitebook-2740p-closed.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom