No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,319
- 13,242
Nilishaiuzapicha mkuu kunogesha tangazo hafu charge inakaa mda gan?
Nilishaiuzapicha mkuu kunogesha tangazo hafu charge inakaa mda gan?
Bei nafuu ndio Sh ngapi?Kwa wale wenye matatizo na umeme...nauza UPS kwa bei nafuu sana
Ni used naziuza kwa laki moja unusu tu...ukihitaji nyingi bei inapunguaUnauzaje, na ziko wapi? Mpya au used?
Tazama hapo juu mkuu nimemjibu [HASHTAG]#penadu[/HASHTAG]Bei nafuu ndio Sh ngapi?
Naweza tumia ktk tv set yangu?Ni used naziuza kwa laki moja unusu tu...ukihitaji nyingi bei inapungua
NB//:zipo kwenye hali nzuri tu kama mpya na betri zake ni mpya kabisa.
Napatikana Dar es Salaam na kwa wale wa mikoani natuma kwa njia utayoipendekeza wewe mteja.
Unaweza kama ina watts 700 kushuka chini kwa kuwa hizo UPS ni za uwezo huo tofauti na hapo utaitumia kama umeme upo tu.Naweza tumia ktk tv set yangu?
Flat screen hazifiki hata watt 100.Unaweza kama ina watts 700 kushuka chini kwa kuwa hizo UPS ni za uwezo huo tofauti na hapo utaitumia kama umeme upo tu.
Ichunguze TV yako kwanza mkuu.
Basi itakufaa mkuu...karibu tufanye bishara.Flat screen hazifiki hata watt 100.
Naweza kupata screen ya ndani ya mac book pro with retina dsiplay inch 13 , kwa nje hakuna scratch ila imetoa michirizi kwa ndani ya screen ya njano njano hivi.nunua laptop yako ,,,itumie kwa kazi zako lakini ikianza kuleta usumbufu/ikiharibika ,,,nitafute mm
pia utapata accessories zote za laptop kwa bei nafuu zaidi
ram,ac powera adapter, hard disk drive, screen/display
g-power it solution +255 713 756 980
karibuni sana
Unapata mkuu kwa laki mbili tu pamoja na gharama za kufungu.Naweza kupata screen ya ndani ya mac book pro with retina dsiplay inch 13 , kwa nje hakuna scratch ila imetoa michirizi kwa ndani ya screen ya njano njano hivi.
Naomba mawasiliano yako tafadhaliUnapata mkuu kwa laki mbili tu pamoja na gharama za kufungu.
Karibu sana
Jaman mm natafta laptop yoyote ambayo n touch screen alaf iwe slim. Kama ipo chek me 0765024294
Mi niko na Hp elitebook 2760p, touch screen, sim card kw net unatumia, webcam, 4g ram, i5, kioo kinarotet na unewez kuifany km tablet, betry iko poa, inch 13, hdd 320. Unatumia pen kwkutach ila pen yak imenipotea, bei 480,000 bt ninay mm na nik nje so natarajia kuituma tz 05.06.2017 itakuw imefik, km unaihitaj ni pm.Jaman mm natafta laptop yoyote ambayo n touch screen alaf iwe slim. Kama ipo chek me 0765024294
thanks mkuuprojector kuna ndugu yangu anayo ni pm nikuunganishe km kwel upo serious
Upo Mtaa gn kiongoz?
. Kwa mwenye uhitaji wa laptop na computer wadau za mtumba whatspp Namba 0675333207 nipo dar![]()
nina laptop mpya hp ,,
size 13 inch
processor 2.50GHZ_i5
ram 2gb
hdd 320
web camera
using simcard
bei 480,000 tu
ni pm kama ur interested
nina min pia acer, asus, del, na hp
Nipo dar mkuu ukinitaaji Namba yangu chukua hapo ya whatsppUpo Mtaa gn kiongoz?
Chukua 300k kiongozRAM 4GB
HDD 500G
imenunuliwa mwezi wa pili ni bado mpya kabisa.
bei 415,000/= (bei ya dukani 600,000)
mawasiliano 0742128690
Napatikana DSM
View attachment 511481 View attachment 511482 View attachment 511483 View attachment 511483