Wauza laptop tukutane hapa

Wauza laptop tukutane hapa

Wakuu nina hiki kifaa kuna mahala nimekipata ila 9 naomba unisaidie je kifaa gani? Kinatumika kwenye laptop au desktop? Ni fake or Og ? Na je hapa kilipo kipo complete ama laah? Na bei yake kinavouzwa dukani.ahsanteh
View attachment 616536
View attachment 616537
hiyo ni HARDDISK inaonesha ni ya laptop ukubwa gb 500
bei dukani mpya kwa HDD za toshiba maduka ya kkoo inakuwa kati ya elf 75 mpk laki 1
used bei ni kati ya elf50 mpk 70
 
ni internal kuhusu mpya au used kwa hapo pichani siwezi jua ila mpya huwa ipo sealed katika kilailoni chake huo ndo uthibitisho kuwa ni mpya
maana hata used ikitolewa katika mashine kimuonekano inakuwa km mpya 7bu inakuwa haijashikwashikwa haina uchakavu so mpya pia inaweza kuwa chakavu 7bu ya kutoiweka vizuri
ila katika mambo ya vifaa vya cimputer kitu cha mkononi chochote thamani yake ni km used tu hata km kipya
 
47e50b2c7b04e2221e3be1a58b525529.jpg
ca76b18f0cab501f4c8ea7bf2e158ead.jpg
715d727fb8b1fe97982af5dcac932ec3.jpg


Laptop hiyo hapo iko katika Bali nzuri ina risiti yake na ina wiki mbili tangu inunuliwe.

Inauzwa kwa bei ya awamu ya tano tshs 270000/=

Napatikana Dar es salaam.
 
Upo dar?
Ungependa kupata simu au laptop kutoka Zanzibar?
Kama jibu ni ndio wasiliana nami au ingia hapa Smile with Zanzibar. uniagize nikununulie kisha nikutumie , ukipata mzigo ndipo unalipia bidhaa Asante
0726403314
 
Jaman mm natafta laptop yoyote ambayo n touch screen alaf iwe slim. Kama ipo chek me 0765024294

Ninayo Apple --MacBook Pro (Retina, 13-inch, Late 2012)
Processor:2.5 GHz Intel Core i5;
Memory: 8 GB 1600 MHz DDR3;
Graphics: Intel HD Graphics 4000 1536 MB

Piga 0788 141402 kwa kupata bei
 
naona zitakuwa haziuziki yaani hadi mmeamua kuanzisha umoja !! kiboko.
 
Laptops kuanzia 200k na kuendelea hazijatumika bongo kabisa call 0659254488 au 0623992405 wai sasa zimebaki chache
IMG-20171027-WA0010.jpg
 
NATAFUTA LAPTOP KWA AJILI YA GAMES NZITO NZITO KAMA GTA V FIFA NA PES N.K
MNIPE NA BEI YAKE NA SIFA ZAKE
 
Nauza vifaa vya laptop used
1.Hard disk 160 GB,Tsh 25000/=
2.Adapter ya DELL,Tsh 20000/=
3.Ram ya laptop 1GB DDR2,Tsh 15000/=
4.Betri la laptop aina ya DELL linakaa na chaji mda wa saa moja,Tsh 40000/=
5.Mlango wa DVD Og wa laptop aina ya DELL,Tsh 20000/=
Nipo dar
0711976835
 
Naomba ushauri, Nina bajeti ya 1,300,000/ nahitaji laptop nzuri toleo jipya, naomba specifications zake.
 
47e50b2c7b04e2221e3be1a58b525529.jpg
ca76b18f0cab501f4c8ea7bf2e158ead.jpg
715d727fb8b1fe97982af5dcac932ec3.jpg


Laptop hiyo hapo iko katika Bali nzuri ina risiti yake na ina wiki mbili tangu inunuliwe.

Inauzwa kwa bei ya awamu ya tano tshs 270000/=

Napatikana Dar es salaam.
Hard disk yake ngapi..na bei ipungue ee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom