weka bei na picha hapa ili tangazo likamilikeNinayo Apple --MacBook Pro (Retina, 13-inch, Late 2012)
Processor:2.5 GHz Intel Core i5;
Memory: 8 GB 1600 MHz DDR3;
Graphics: Intel HD Graphics 4000 1536 MB
Piga 0788 141402 kwa kupata bei
Poa external disc drive unauzaje?nunua laptop yako ,,,itumie kwa kazi zako lakini ikianza kuleta usumbufu/ikiharibika ,,,nitafute mm
pia utapata accessories zote za laptop kwa bei nafuu zaidi
ram,ac powera adapter, hard disk drive, screen/display
g-power it solution +255 713 756 980
karibuni sana
naomba specification za hizo mini laptopnina laptop mpya hp ,,
size 13 inch
processor 2.50GHZ_i5
ram 2gb
hdd 320
web camera
using simcard
bei 480,000 tu
ni pm kama ur interested
nina min pia acer, asus, del, na hp
500GB nauza 90elfuPoa external disc drive unauzaje?
Ngoj nami nisubr muonekno wke kwnz,npte cha kusma.Nauza laptop Dell
Core i 3,Ram 4gb,hdrv 500gb
Bei 350,000
Nipo dar
Nitaweka picha baadae kwa sasa inagoma sijajua why.
Mkuu, hiyo picha vipi?Nauza laptop Dell
Core i 3,Ram 4gb,hdrv 500gb
Bei 350,000
Nipo dar
Nitaweka picha baadae kwa sasa inagoma sijajua why.
Mkuu, hiyo picha vipi?
Nicheki ila Nina laki tatu 0744687381nina laptop mpya hp ,,
size 13 inch
processor 2.50GHZ_i5
ram 2gb
hdd 320
web camera
using simcard
bei 480,000 tu
ni pm kama ur interested
nina min pia acer, asus, del, na hp
Nina laki tatu tyu nipi mwanzanina laptops zifuatazo
dell latitude e4310 mpya
Ram 4gb
Hdd 320
Processor core i5
nauza 460,000
pia nina lenovo L412 mpya
ram 4gb
Hdd 320
Processor core i3
size 14.1
bei 480000tu
0712191251 nichek if your interested
Nitumie picha zake whtsap 0744687381Nauza toshiba nipo mwanza nicheki 0787384659
250k bos unachukua?Hp probook 4530s!
HDD 500 GB, RAM 4 GB, CORE i3 - 2.30GHz, HD Web Cam, HD Display 15.6", Battery 3+ hours!
Bei 300K (fixed)
Tatizo!! Ina dead pixels(alama nyeusi kwnye sehemu chache za diplay)
Vingne vyote its okay!!
Ivi unajua unachoquote ni comment ya mwaka 2015 mkuu??naomba specification za hizo mini laptop
Hapana kiongozi! Hiyo bei ni fixed.250k bos unachukua?
mkuu kuna cost ya kioo apoHapana kiongozi! Hiyo bei ni fixed.
Najua ilo kiongozi na ndo mana nauza kwa bei hyo!mkuu kuna cost ya kioo apo
weka mawasilianoNajua ilo kiongozi na ndo mana nauza kwa bei hyo!