Misana Edwin
New Member
- Mar 22, 2012
- 2
- 1
hivi nyie wauza koni ndo makusudi au. mkiona hakuna wateja mnakuja nyumba za watu alafu mnawaita watoto ili wakiona vitu vyenu waanze kulia ili wapate kununuliwa na wazazi wao achane hizo bana maisha magumu.....