Wauza kitimoto wasajiliwe Halmashauri

Wauza kitimoto wasajiliwe Halmashauri

Nashauri wauza kitimoto wote wasajiliwe na Halmashauri husika. Ili kuboresha huduma na mazingira ya usafi zilipo ofisi za wauza kitimoto
Halmashauri zitachangia ongezeko la bei tu ya bidhaa sokoni, maana wao kipaumbele ni maokoto tu.
Kuhusu suala la usafi wa mazingira yao ya biashara naamini wateja tuna nafasi ya kuwashauri na kuwarekebisha pale wanapozingua bila serikali kuingilia kati
 
Back
Top Bottom