Wauza karanga

Eddy Kadinde

New Member
Sep 30, 2011
3
2
hivi wale wanaouza karanga za kupima za kwenye vikapu ambao huwa wanaweza hata kukuonjesha wakiwa wanaingia toilet kujisaidia pindi wakiwa mzigoni(barabarani) huwa wanamuachia nani bidhaa zao au huwa wanaingia nazo huko...?
 
Hilo nalo neno! Cjawah kujiuliza hilo swali ila tunapa7wa kuwa makin na hizi afya zetu ndugu. Duuh! Kinyaaaaa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom