yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,559
- 3,522
Mficha maradhi kifo humuumbua. Hivyo ndivyo navyoweza kusema kwa sasa.
Mwenzenu ni mwaka wa pili sina ajira tangu mkataba ulipokoma kule kwenye kampuni niliyokuwa nafanyia kazi.
Mimi ni mwanaume mwenye shahada ya kwanza (Degree).
Nina uzoefu wa muda mrefu katika kufanya kazi mbali mbali.
Ndugu zangu, hapa nimeandika kwa ufupi sana. Kwa yeyote mwenye nia ya kunisaidia kupata kazi, connection, au hata ushauri nitamtumia taarifa zangu zote ikiwemo CV.
Nisaidieni ndugu zangu, mtaani bila kazi rasmi ni kugumu sana. Nisaidieni nipate ugali huku nikishiriki vyema kujenga nchi.
Nimalize tu kwa kusema ASANTE itatolewa kwa yeyote atakayesaidia kufanikisha hili.