Dereva wa bajaji, fuso, scania na mabasi nipo hapa mkoa wowote napiga kazi

MoonBoy

Senior Member
Jul 15, 2016
195
133
Habari zenu wana jf?.

Wahenga walisema MFICHA MOTO, MOSHI HUMUUMBUA.

Ndugu zangu wana jf? Najua humu ndani wapo wamiliki wa vyombo vya moto lakini pia wapo ndugu na jamaa ambao wana roho ya kupeana ramani za kazi

Kuhusu aina ya chombo sichagui, kwasababu najua kuviendesha na nina uzoefu navyo.

Kwasasa napiga Bajaji ya deiwaka, hivyo kama kuna mmiliki wa chombo hicho, tafadhali tuwasiliane, Nimletee Hesabu yake, Halikadhalika pia FUSO, SCANIA, GARI ZA ABIRIA

Nina vyeti vitatu vya udereva,.. Pamoja na vyeti vyote hivyo, sichagui chombo cha kuendesha, kikubwa riziki ipatikane

Changamoto ya ajira za kitanzania, Bila connection hakuna kitu, na ndio mana nimekuja hapa ndugu zangu, MFICHA MOTO MOSHI HUMUUMBUA, yanini mpaka nikimbiwe na familia jamani

Pia nimesha hakiki leseni yangu na vyeti vyake. Nakala nitazionyesha kwa ufupi, ila ukihitaji kuziona zaidi, utaziona.

LOCATION: Arusha
Phone Number: 0755360768

Ndugu zangu nina shida kweli,... Najua wapo wale ndugu zangu wa kutaka kupiga pesa kupitia shida ya mtu... Tafadhali, kama huna kazi au connection ya kazi, Niache na shida zangu kuliko kuniongezea shida zaidi...

Nawakilisha, asanteni.

IMG_20230525_152601_723.jpg
 
Habari zenu wana jf?.

Wahenga walisema MFICHA MOTO, MOSHI HUMUUMBUA.

Ndugu zangu wana Jf? Najua humu ndani wapo wamiliki wa vyombo vya moto lakini pia wapo ndugu na jamaa ambao wana roho ya kupeana ramani za kazi

Kuhusu aina ya chombo sichagui, kwasababu najua kuviendesha na nina uzoefu navyo.

Kwasasa napiga Bajaji ya deiwaka, hivyo kama kuna mmiliki wa chombo hicho, tafadhali tuwasiliane, Nimletee Hesabu yake, Halikadhalika pia FUSO, SCANIA, GARI ZA ABIRIA

Nina vyeti vitatu vya udereva,.. Pamoja na vyeti vyote hivyo, sichagui chombo cha kuendesha, kikubwa riziki ipatikane

Changamoto ya ajira za kitanzania, Bila connection hakuna kitu, na ndio mana nimekuja hapa ndugu zangu, MFICHA MOTO MOSHI HUMUUMBUA, yanini mpaka nikimbiwe na familia.

Back
Top Bottom