wakalisisi
Member
- Apr 18, 2013
- 17
- 0
sijui hii kitu wanaume wanaichukuliaje kwa kweli!
Waungwana naombeni msaada jamania, ambao mshawahi kula bikira, nina shemeji yenu yeye ni mpya kwenye mambo ya sex sasa sijui wenzake walimwambia siku ya kwanza ni balaa! Nahisi ametishwa, mara kadhaa nimeingia naye ghetto nasikuambulia kitu maana mkianza tu ni ugomvi yaani mvutane balaa, sasa mimi sijazoea mapenzi ya hivi, yaani mpaka nataka kukata tamaa nimshit tu, nisaidieni wazoefu maana mimi kubaka siwezi kabisa yan!!
NIanzishie thread basi kusema how amazing I am. heheheheha ha ha ha...., you are so amazing mwali, you always think outside the box... teh teh...
mbona sisi used haitusumbui?mwali ile kitu ina heshima yake atii. we fikiria tu kuendesha gari yenye 0.0km na used japan 50,000km. ipi bora hapo?
sawa kabisa, coz gari jipya halihitaji dereva mpya. linahitaji dereva mzoefu. au nakosea mwali, coz dereva mpya asiye na uzoefu ataligongesha fasta na kulihalibu mapema. bikra inabidi apate mwnaume mzoefu....,mbona sisi used haitusumbui?
haya, umejieleza na umeeleweka (lakini sijakubaliana nawe)sawa kabisa, coz gari jipya halihitaji dereva mpya. linahitaji dereva mzoefu. au nakosea mwali, coz dereva mpya asiye na uzoefu ataligongesha fasta na kulihalibu mapema. bikra inabidi apate mwnaume mzoefu....,
teh teh teh..., ombi lako nilekubaliwa. utaikuta huko chit-chatNIanzishie thread basi kusema how amazing I am. hehehehe
I was joking c'mon!teh teh teh..., ombi lako nilekubaliwa. utaikuta huko chit-chat
ha ha ha..., asante kwa kunielewa. japo hujakubali, kuwa tu mkweli we usimngependa ukutane na anae yajua mautundu?haya, umejieleza na umeeleweka (lakini sijakubaliana nawe)
we unapenda?ha ha ha..., asante kwa kunielewa. japo hujakubali, kuwa tu mkweli we usimngependa ukutane na anae yajua mautundu?
omg, nishapost tayari. basi ngoja nikafute.I was joking c'mon!
mie nataka nikute kitu bado kimefungwa kwenye makaratasi. nikifungue mwenyewe. siku zote mwanaume ni kiongoz, inabidi akute mwenza wake hajui kitu amfundishe yeye. ndo furaha yake inatimia, yeye kama kiongoz! sio ukute anakufundisha yeye...., haipendezi.we unapenda?
na mimi napenda hiyo unayo penda wewe.mie nataka nikute kitu bado kimefungwa kwenye makaratasi. nikifungue mwenyewe. siku zote mwanaume ni kiongoz, inabidi akute mwenza wake hajui kitu amfundishe yeye. ndo furaha yake inatimia, yeye kama kiongoz! sio ukute anakufundisha yeye...., haipendezi.
acha hizo mwali! utajikosesha raha mwenyewe...., shauli yako! we ukute mtu hajui hata nanihii ilipo! utafaidi nin sasa.na mimi napenda hiyo unayo penda wewe.