Sembeta jr
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 805
- 367
- Thread starter
- #41
Kiukweli nilijaribu kulala sebulen nkashindana na mbu nkaenda zangu lala nae chumbani ila kabla sijaenda lala nilipita toi na sabun. . . . . dont ask more. . . . . ila kiukweli binti hajaguswa na ameamka mapema na amesepa huku akiomba radhi kwamba alilewa na mvua. . . . nikamwambia usiwaze mama ndo mana nikakuacha salama. . . . ila nkamwambia siku nyingine ukija mzima kwa style hyo sikuachi. . . .