Waungwana huu ni mtego au nile dundo tu?

Waungwana huu ni mtego au nile dundo tu?

Nina rafiki yangu niliwahi kukaa nae hapa kwangu sasa alishahama muda tu sasa ana goma lake limeshakujaga hapa maqa kadhaa.

Sasa muda si mrefu kaja kama amelewa ivi na mvua inanyesha kaja kalowa sana, ananambia shem na mvua hii mi nalala hapa hapa kabla sijamjibu kaanza kuvua nguo zilizolowa kazikamua kaanika sijakaa sawa kajirusha kitandani hapa ninavyoandika mi nipo nje nashindwa chakufanya.

Nimemwambia sasa shem tutalalaje nami nakitanda kimoja tu kanambia tulale hivo hivo.

Nimempigia simu swahiba simpati.

Naombeni ushauri wa fasta waungwana ukizingatia mi namaugwadu yangu hapa kitambo si mtihan huu.

Hebu acha ujunga upalue huo mzigo mbele na nyuma
 
Madam, wakati mwengine no bora Hivyo! Kumgonga Demu wa mshkaji ni usaliti wa hali ya juu Sana. Utasutwa Na nafsi yako mpaka siku unarudi udongoni. Mbaya zaidi Jamaa mwenyewe awe anakuheshimu Na awe rafiki wa shida Na raha. Kuliko nifanye Hivyo in bora niende sinza nikatafute GOMA Kali kuliko hata huyo shemeji.

Huyo wala si demu wa mshikaji...na huyo mshikaji hana mpango wowote naye..mana demu wa staili hiyo sio wa kukaa naye kabisa aisee!
 
unazengua na ubwege wako pimbi kweli tafuta zana ingia kazini ila ujikaze usije ukampenda tu. maana wengine mitego sana. si unajuua wana wake
 
Back
Top Bottom