Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,952
- 168,820
Mrejesho utatoka saa ngapi?
Mrejesho utatoka saa ngapi?
Mwanza
Nakubaliana na Donald Trump waafrika wezi na wanawaza ngono tu.
Mrejesho wa nini tena na wewe?
Halafu na wewe kuna mrejesho ulisema utatupa ila naona kimya.
Badoo nauandaa
Wewe ni mchokozi sana...
Halafu ujue wenzio hawajamaliza majukumu ya alfajiri wewe umeshakimbilia MMU
cc King'asti...
Mla vya watu nae huliwa what comes around goes around swali je ungekuwa wewe ndo unataka kufanyiwa ivo ungejisikiaje? Wanawake ni dhaifu huenda anakutega stay loyal kurukaruka sio mpango
Mrejesho utatoka saa ngapi?
Acha tu bidada nimekufa kishujaa kwa kweli . . .
transporter unaniangusha
kwamba mi navigonela vyangu hapa asa nikimtafuna ntakuwa nimekosa kweli? au nimwache nkalale zangu mbele?
Una umri gani?
Haaaaaaa usinambie hujambandua??? Hebu acha utani bana