Waungwana chonde nawaombeni msaada! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waungwana chonde nawaombeni msaada!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by PENDING'ULA, Feb 12, 2012.

 1. PENDING'ULA

  PENDING'ULA JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mjasiriamali mdogo najishughulisha na ufugaji wa kuku. Je kuna mtaalamu anayeweza kunisaidia Tiba za dawa za asili au tiba mbadala kama kiswahili cha sasa kinavyosema kwa ajili ya kuku?
   
 2. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Ingia hapa
  https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/95339-mradi-wa-kufuga-kuku-wa-kienyeji-6.html#post3273963
   
 3. PENDING'ULA

  PENDING'ULA JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kwa kujaribu kunisaidia lakini Nimejaribu ku-access siipati!
   
Loading...