atakuwa yule sheikh aliyetoka bara ndio kafanya hivyo , mjanja saana yule bwana, anakula kote kote halafu anakuachia wewe mwenyewe ufanye uamuzi wa kuta muungano au wa kutotoka muungano. hapo anamearibu kuonyesha faida za kuvunja muungano na baadae hasara za kuvunja muungano.