Waunguja wawabagua Wapemba

Waunguja wawabagua Wapemba

Kwani Uislamu hauna kinga ya virus? Kama ni hivyo ni basi uislamu kwishnei! Ngoja nipite hapa usije ukakimbilia kuchoma kanisa!

kinga ya virusi ndiyo hiyo mkachomewa ... nyingine kubwa yaja muungano ukivunjika

Kwani huyu ndie anachomaga? :-D!

yeh! ni mimi... do have any problem with that ..?
 
Kumekuwa na mipango ya makusudi liliyoandaliwa na Makanisa wakishirikana na Viongozi mafisadi kujaza Makanisa Zanzibar na kuhodhi ardhi ya Wazanzibari, Makanisa hayo yamejazana kama uyoga yakfuatiwa na Migahawa ya nyama ya Kiti moto, baa na umalay uliokithiri mitaaniZaidi ya 98% ya WaZanzibari ni Waislam, ukuwaji wa makanisa hauwiani kabisa na idadi ya wakiristo wahamiaji waliopandikizwa kwa ajili ya kuaribu mila na dasturi za WazanzibarKama Wazanzibari hamtokuwa makini, basi mtakuwa kama Wapalestina walivyo porwa ardhi yao na Waizraili
unajua tatizo la wanafunzi waliosoma chuo kikuu cha kidini kule morogoro na vyuo vingine vya kiislam kule zenji, ni kwamba, kichwani kwao akili zote hamna, wamebaki makopo tu kwasababu ya u extremism wao wa kidini...hakuna cha maana wanachowaza, hawana hata uwezo wa kutoa point.......wewe unasema umeona makanisa yanaongezeka, vipi mbona huku bara pia misikiti inaongezeka tena ya osama...lakini sisi tumewaacha tu kwasababu huku kuna uhuru wa kuabudu, mtu achague mwenyewe dini ipi asali...usilazimishe watu....

kuhusu kitimoto zanzibar ni uongo...kuhusu bar, kwani wanaokunywa si ninyi wenyewe waislam....wakati wa mfungu mbona baa nyingi zinakosa mapato....si mnakuwa mmefunga, mnajifanya watakatifu kumbe hata mnapoenda kuchoma baa mnakwapua chupa za bia na kunywa kwanza kabla hamjaichoma....kuhusu wabara wahamiaji...ninyi laiti mngelipima DNA zenu mngejua kuwa mmetoka huku tana mnafukuza ndugu zenu....upuuumbavu wa akili ni kwamba, mzanzibari akija bara anaweza kununua hata ekari mianane hata elfu nyingi, lakini mtu wa bara akienda zenji hata nusu eka anakataliwa....UNAJUA WAZENJI TUMEWABEBA SANA KAMA WATOTO, unajua ukimbeba mtoto mara anakukojolea mgongoni, anakunyeea etc, wakati mwingine ni bora umshushe ili upumzike matatizo...hawa watu wamekuwa mzigo mzito sana kama gunia la mawe kwa watz bara...ni bora waende zao...sisi pia hatuwataki...

.ila, WAPEMBA NA WAZENJI WOTE jiandaeni na ninyi kuondoka, fungeni maduka yenu yenye majini rudini kwenye kale kanchi kwenye watu milioni moja, mkaanze kupigana kati ya waunguja na wapemba....ajabu ni kwamba wengi wameajiriwa kwenye selikali, sasa siku tukitengana, wataanza kutafuta kazi upya kule kwa wazenji...kuhusu umalaya...ni bora malaya kuliko mfirwajii...mbona katika tz yote, sehemu inayoongoza kwa mashoga ni zanzibar....

si bora mwanamke malaya na kahaba kuliko shoga.....mnavaa misulu tuuu na kutia huruma....mwishowe ukiinama msuli unakudondoka wenzio wanajisevia.....yaani kati ya eneo la tz linalochafua uislam ni zanzibar, na linachafuliwa na waislam wenyewe wala si wakristo......ugaidi ninyi, ushoga ninyi, malalamiko yasiyo ya msingi ninyi...mabinti zetu wengi wanaingiliwa nyuma....kwa wale waliowahi kuishi zenji, mwanamke anakwambia kabisa kuwa mbele anamwachia mme, ila nyuma ni kwa wanaume wengine...ni eneo chafu kupita kiasi....na makanisa wameanza kuchoma muda mrefu sana....wakristo wenyewe ni wachache mno....waacheni waende zao....waanze kuja dar kwa pasport.
 
Kumekuwa na mipango ya makusudi liliyoandaliwa na Makanisa wakishirikana na Viongozi mafisadi kujaza Makanisa Zanzibar na kuhodhi ardhi ya Wazanzibari,

Makanisa hayo yamejazana kama uyoga yakfuatiwa na Migahawa ya nyama ya Kiti moto, baa na umalay uliokithiri mitaani

Zaidi ya 98% ya WaZanzibari ni Waislam, ukuwaji wa makanisa hauwiani kabisa na idadi ya wakiristo wahamiaji waliopandikizwa kwa ajili ya kuaribu mila na dasturi za Wazanzibar

Kama Wazanzibari hamtokuwa makini, basi mtakuwa kama Wapalestina walivyo porwa ardhi yao na Waizraili

Wapumbavu ndio waliwao, kama wamekaa kusubiri misaada kutoka kwa ndugu zao walio nje ya Zanzibar na ndio hivyohivyo wasubiri kujengewa makanisa, mabar na kulishwa kiti moto. Yaani wewe akili yako ni fupi kama wazazi wako na wala kwenu hawaoni tofauti ya wewe kwenda shule na ya yule anayetengeneza urojo pale barazami kwenu.

Hivi kwanini haujiulizi wakristu wengi ni wastaarabu hawana vurugu na dini nyingine? Acheni kusoma maandishi yanayoanzia kulia kwenda kushoto maana na akili zenu zinapiga rivaz hivyo hivyo. Umbumbumbu dot ujinga
 
sasa hii ni KATANGA!!!!!! - "Mungu kosa sisi kosa - nonihii pata nini!!!"
 
hizi propaganda zitaleta mwisho mbaya, kwenye ile mihadhara niliona mashehe na wachangiaji wakitaadharisha swala la mapandikizi kutoka bara na wanasiasa, sasa ninapoona habari hizi za vipeperushi naanza kuona kuwa jamaa walikuwa na point na hii inaweza kuongeza chuki zaidi kwa bara na baadhi ya wazenji

Karibu mkuu umetoka kifungoni? Nilikureport abuse..

Naona sasa una nidhamu, kweli MOD wanajua adhabu.
 
Kama alivyosema Baba wa taifa,ukila nyama ya binadamu utaendelea tu kula..........
SOURCE:MICHUZI BLOG
zenji.jpg
 
Monday, 04 June 2012 | Na Elias Msuya | Mwananchi

ILE dhambi ya ubaguzi ambayo Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere alionya kwamba huiwezi kuachwa sawa na kula nyama ya mtu, imeanza kujidhihirisha visiwani Zanzibar, baada ya kusambazwa vipeperushi vinavyotaka wananchi wenye asili ya Kisiwa cha Pemba kuondoka Unguja.

Ikiwa ni zaidi ya miaka 17 tangu Mwalimu kutoa onyo hilo, dhambi hiyo ya ubaguzi imeanza kuwatafuna Wazanzibari katika kipindi ambacho Jumuiya ya Uamsho Mihadhara ya Kiislamu (Jumiki), inazidi kuhamasisha Wazanzibari kuukataa Muungano.

Waakati kundi hilo la Jumiki likitaka Zanzibar iwe dola huru, limeibuka jingine linalojitambulisha kama ‘Watu wa Unguja' likisambaza vipeperushi vinavyolishutumu kundi hilo la Uamsho, kwamba wahusika wake ni wananchi wanaotoka Pemba, wakitaka kuvuruga amani ya Unguja.

Huku wakihusisha baadhi ya viongozi waandamizi wa Serikali ya Mapinduzi (SMZ), katika vipeperushi.Hivyo wamemwomba Rais Jakaya Kikwete ashauriane na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein wawaruhusu wapewe kisiwa chao cha Pemba.

"Watu wa Unguja tunatoa ujumbe mahususi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete…. Tumechoka kuishi na Wapemba katika kisiwa chetu cha Unguja, kwani ni watu wasio na fadhila ya aina yoyote ile," inasomeka sehemu ya kipeperushi kimoja na kuongeza:,

"Hivyo, tunakuomba ufanye mazungumzo na Rais wa Zanzibar ili Wapemba wapewe kisiwa chao cha Pemba."

Sehemu nyingine inasomeka, "Hapo siku za nyuma Wapemba walidai kisiwa chao, na ninyi viongozi mkang'ang'ania kuwa hatuwezi kuvunja umoja. Sasa mnaona hao tayari wameanzisha chama cha kisiasa cha ‘Uamsho' kwa kisingizio cha dini."

Kipeperushi hicho pia kimedai kwamba, asili ya wananchi wa Pemba ni Wamakonde kutoka Msumbiji wakati wenyeji wa Unguja wana asili ya Wasegeju kutoka Bara, ndiyo maana wanautaka Muungano.

"Kila siku mnajenga Unguja bila ridhaa yetu, nani mtu wa Unguja aliyejenga Pemba? Mnajenga mpaka ndani ya vyanzo vya maji, tunasema tokeni na hameni mara moja," inasisitiza sehemu ya vipeperushi hivyo.

Huku wakilaumu marekebisho ya Katiba ya Zanzibar na kuitisha kura ya maoni iliyounda Serikali ya Umoja wa Kitaifa, wamesema wanahitaji Katiba Mpya ya Zanzibar ili kufuta mfumo huo.

Vipeperushi hivyo pia vimelaumu kundi la Uamsho kwa ubaguzi kwa wananchi wanaotoka bara na kusema, kuwa hata Wapemba wako kwa wingi upande huo wa pili wa Muungano.

Wamesisitiza pia kutaka Muungano kati ya Unguja na Tanganyika bila ya kuihusisha Pemba na kusisitiza:

"Tunasema tena, sisi watu wa Unguja tunataka Muungano wa Serikali mbili ya Unguja na Tanganyika bila ya kuwapo Pemba. Kuwapo kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar isiyokuwa ya Umoja wa Kitaifa. Rais wa Zanzibar awe ndiyo Makamu wa Rais wa Muungano."

Kauli ya Nyerere
Mwaka 1995 akiwa katika Hoteli ya Kilimanjaro (sasa Hyatt Regency Dar es Salaam) , Mwalimu Nyerere akielezea nyufa kuu tano zilizokuwa zikiikabili nchi huku wa kwanza ukiwa ni Muungano.

Mwalimu alionya, "Watu wazima wameuzungumza Muungano, kwamba tuuvunje au tuendelee. Mtu mwenye akili hawezi kufikiri Uzanzibari ni fahari: Hana akili. Nje ya Muungano kuna Wapemba na Waunguja. Mtamaliza kutengana na Watanganyika, halafu mara mtakuta kumbe sisi si Wazanzibari."

"Mtajikuta kuna Wapemba na Waunguja. Wapemba watapata msukosuko kidogo alololo! Mtakuta kumbe kuna Wazanzibari na Wazanzibara. Hamtakaa salama. Hamuwezi mkakaa salama baada ya kutenda dhambi ya kuwabagua watu wa nchi yenu ileile moja mkawaita wale wao na hao sisi. Dhambi ile haishii hapo. Ndivyo historia ilivyo; ni sheria ya historia siyo sheria ya Mwalimu Nyerere."

Kinyume na onyo hilo la mwalimu, vipeperushi hivyo vimeorodhesha madai mengine, mojawapo likiwa kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano awe anapatikana kwa zamu ya kipindi kimoja kila upande wa Muungano.

Pia kundi hilo limedai kuwa Waziri Mkuu atoke bara, kila upande uwe na rasilimali zake kama vile mafuta na madini, ulinzi wa nchi uwe wa pamoja, kuwe na mgawo sawa wa mabalozi nje ya nchi na kuwa na mgawanyo sawa wa misaada ya maendeleo.

Tamko la Jumiki
Kwa upande wake Msemaji wa kundi la Jumik, Sheikh Faridi Hadi Ahmad amekosoa vipeperushi hivyo akisema vimejaa uzushi.

Akizungumza na waandishi wa habari katika msikiti wa Mbuyuni mjini Zanzibar juzi, Sheikh Faridi alisema kundi hilo halina uhusiano na Upemba wala Uunguja.

"Hao ni wapuuzi na wazushi, kama wanataka Wapemba warudi kwao, basi wamwambie na Rais Ali Mohamed Shein naye aondoke, Yule si ni mwenyeji wa Pemba?" alihoji Sheikh Farid.

Alisema kundi hilo lilianzishwa kwa ushirikiano na wananchi kutoka Pemba na Unguja kwa malengo ya kueneza dini na masuala mengineyo.

Kuhusu kujihusisha na siasa, alisema kuwa Katiba ya Zanzibar na dini ya Kiislamu inaruhusu waumini wake kushiriki siasa.

"Katiba ya Zanzibar inasema kuwa kila mtu ana haki ya kushiriki kwenye uongozi wa nchi. Hata Mtume Muhammad (S.AW), alikuwa ni rais wa eneo lake na alikuwa kiongozi wa dini… Siasa ni neno la Kiarabu likiwa na maana ya uongozi na uongozi una mambo mengi. Kwa hiyo tuna haki kabisa ya kushiriki siasa," alisema Sheikh Farid.

Katika hatua nyingine, kundi hilo limepinga hatua ya Jeshi la Polisi kuwakataza kufanya miahadhara kama kawaida yao.

Katika barua yao waliyomwandikia Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Uamsho wamelaumu hatua ya jeshi hilo huku pia wakimlaumu Waziri wa Nchi Katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohamed Aboud wakisema kuwa hana mamlaka ya kuwazuia kufanya hivyo.

Wameipongeza hotuba ya Rais Ali Mohamed Shein wakisema kuwa, haikukataza mihadhara badala yake alisisitiza amani.

Kamati ya Bunge
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Edward Lowassa amekemea vikali hali ya machafuko yaliyojitokeza hivi karibuni visiwani humo na kutamka kwamba amani ya nchi lazima ilindwe kwa gharama yoyote.

Lowassa, aliwapongeza Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein kwa kukemea vitendo viovu vilivyofanywa na baadhi ya watu kisiwani humo pamoja na kulinda usalama wa taifa.

Akizungumza jana wakati wa harambee ya ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Elerai, Lowassa alionya kwamba amani ya nchi haiwezi kuchewa na watu wachache.

"Amani ya nchi italindwa kwa gharama yoyote ile, hatuwezi kuona amani ya nchi tuliyonayo inachezewa na watu wachache wenye nia mbaya," alionya Lowasa.

Nilisema mtakulana wenyewe kwa wenyewe mtageukana mpaka mtauana sasa kazi kwenu mmetoka kwa watanganyika mmerudi kwa wapemba , sisi jicho tunapangusa matongotongo tu tuone vizuri.

NYIE DANGANYWENI NA WAARABU FUKUZENI VIZAZI VYENU WATAKAPOPATA MWANYA WAKUWATAWALA HAMTAWASIKIA WATAWAFILISI NAKUIFANYA ZANZIBAR JANGWA KAMA KULE KWAO.

WANAKITAMANI SANA HICHO KISIWA KIZURI SHETANI AMEWAFUNGA MAARIFA NYINYI WATU HEBU FUNGUKENI?

WAANGALIENI WALE LIBYA WALIDANGANYWA KAMA NYIE HIVYO HIVYO SASA WANAITAMANI HATA MAITI YA GADAFFI IFUFUKE KUWARUDISHA PALE WALIPOTOKA. HAKUNA TENA MSAIDIZI KWAO WOTE WAMEWAACHA PAKAVU.

RASILIMALI ZA NCHI YAO ZILIKUWA NA SHARE KUBWA KWA WANANCHI SASA HIVI HMNA TENA .MSHUKURUNI MUNGU KWA AMANI KIDOGO MLIYONAYO JAPO YA UONGO JAMANI NYIE WAGUNYA .
 
Jukwaa alilotumia LOWASA (Kanisa) kutolea tamko lina walakini, CCM muwe makini na huyu mtu, hana heri na chama chenu.
 
wakati umefika na wapemba wapewe kisiwa chao... safi sana,
 
Huuu ni upotoshaji unaofanywa na usalam wa taifa na umoja wa vijana CCM lakini hamuwezi kuwagawa Wazanzibar juu ya nchi yao tunajuwa wabaya wetu na chuki za watanganyika.

Jjuzi usalama wa taifa walichoma makanisa sasa wanaleta fitna nyengine lakini fitna hizi ndio zitawapelekea watanganyika walioko Zanzibar kuishi kwa tanuu sababu tunajuwa usalama wa taifa na na viongozi wa tanganyika
 
Rudisha hao Wamakonde wa Msumbiji huko Pemba na wapewe hicho kitongoji chao wasituletee balaa hapa!!. Watu wenyewe ni maskini wa kutupa kuanzia kwenye akili, elimu hadi mawazo.

Na wakisharudi huko kisiwani kwao Pemba waje na huku Bara wawatoe Wapemba wenzao halafu wataona ubaya au uzuri wa kujitenga kwenye huu Muungano. Binafsi siupendi Muungano lakini ni heri ya kero za ndani ya Muungano kuliko matatizo ya kuishi pamoja na mijitu aina ya hawa Wagunya kutoka Pemba-Msumbiji.
 
hapo mwanzo tu na bado utasikia sio muda mrefu wewe wa kitongoji fulani waacheni tu. maana ukiangalia kwa utaona udini na elimu ndizo zinasababisha haya.
 
Monday, 04 June 2012 09:05 0digg

Elias Msuya
ILE dhambi ya ubaguzi ambayo Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere alionya kwamba huiwezi kuachwa sawa na kula nyama ya mtu, imeanza kujidhihirisha visiwani Zanzibar, baada ya kusambazwa vipeperushi vinavyotaka wananchi wenye asili ya Kisiwa cha Pemba kuondoka Unguja.

Ikiwa ni zaidi ya miaka 17 tangu Mwalimu kutoa onyo hilo, dhambi hiyo ya ubaguzi imeanza kuwatafuna Wazanzibari katika kipindi ambacho Jumuiya ya Uamsho Mihadhara ya Kiislamu (Jumiki), inazidi kuhamasisha Wazanzibari kuukataa Muungano.

Waakati kundi hilo la Jumiki likitaka Zanzibar iwe dola huru, limeibuka jingine linalojitambulisha kama ‘Watu wa Unguja’ likisambaza vipeperushi vinavyolishutumu kundi hilo la Uamsho, kwamba wahusika wake ni wananchi wanaotoka Pemba, wakitaka kuvuruga amani ya Unguja.

Huku wakihusisha baadhi ya viongozi waandamizi wa Serikali ya Mapinduzi (SMZ), katika vipeperushi.Hivyo wamemwomba Rais Jakaya Kikwete ashauriane na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein wawaruhusu wapewe kisiwa chao cha Pemba.

“Watu wa Unguja tunatoa ujumbe mahususi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete…. Tumechoka kuishi na Wapemba katika kisiwa chetu cha Unguja, kwani ni watu wasio na fadhila ya aina yoyote ile,” inasomeka sehemu ya kipeperushi kimoja na kuongeza:,

“Hivyo, tunakuomba ufanye mazungumzo na Rais wa Zanzibar ili Wapemba wapewe kisiwa chao cha Pemba.”

Sehemu nyingine inasomeka, “Hapo siku za nyuma Wapemba walidai kisiwa chao, na ninyi viongozi mkang’ang’ania kuwa hatuwezi kuvunja umoja. Sasa mnaona hao tayari wameanzisha chama cha kisiasa cha ‘Uamsho’ kwa kisingizio cha dini.”

Kipeperushi hicho pia kimedai kwamba, asili ya wananchi wa Pemba ni Wamakonde kutoka Msumbiji wakati wenyeji wa Unguja wana asili ya Wasegeju kutoka Bara, ndiyo maana wanautaka Muungano.

“Kila siku mnajenga Unguja bila ridhaa yetu, nani mtu wa Unguja aliyejenga Pemba? Mnajenga mpaka ndani ya vyanzo vya maji, tunasema tokeni na hameni mara moja,” inasisitiza sehemu ya vipeperushi hivyo.

Huku wakilaumu marekebisho ya Katiba ya Zanzibar na kuitisha kura ya maoni iliyounda Serikali ya Umoja wa Kitaifa, wamesema wanahitaji Katiba Mpya ya Zanzibar ili kufuta mfumo huo.

Vipeperushi hivyo pia vimelaumu kundi la Uamsho kwa ubaguzi kwa wananchi wanaotoka bara na kusema, kuwa hata Wapemba wako kwa wingi upande huo wa pili wa Muungano.

Wamesisitiza pia kutaka Muungano kati ya Unguja na Tanganyika bila ya kuihusisha Pemba na kusisitiza:

“Tunasema tena, sisi watu wa Unguja tunataka Muungano wa Serikali mbili ya Unguja na Tanganyika bila ya kuwapo Pemba. Kuwapo kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar isiyokuwa ya Umoja wa Kitaifa. Rais wa Zanzibar awe ndiyo Makamu wa Rais wa Muungano.”

Kauli ya Nyerere
Mwaka 1995 akiwa katika Hoteli ya Kilimanjaro (sasa Hyatt Regency Dar es Salaam) , Mwalimu Nyerere akielezea nyufa kuu tano zilizokuwa zikiikabili nchi huku wa kwanza ukiwa ni Muungano.

Mwalimu alionya, “Watu wazima wameuzungumza Muungano, kwamba tuuvunje au tuendelee. Mtu mwenye akili hawezi kufikiri Uzanzibari ni fahari: Hana akili. Nje ya Muungano kuna Wapemba na Waunguja. Mtamaliza kutengana na Watanganyika, halafu mara mtakuta kumbe sisi si Wazanzibari.”

“Mtajikuta kuna Wapemba na Waunguja. Wapemba watapata msukosuko kidogo alololo! Mtakuta kumbe kuna Wazanzibari na Wazanzibara. Hamtakaa salama. Hamuwezi mkakaa salama baada ya kutenda dhambi ya kuwabagua watu wa nchi yenu ileile moja mkawaita wale wao na hao sisi. Dhambi ile haishii hapo. Ndivyo historia ilivyo; ni sheria ya historia siyo sheria ya Mwalimu Nyerere.”

Kinyume na onyo hilo la mwalimu, vipeperushi hivyo vimeorodhesha madai mengine, mojawapo likiwa kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano awe anapatikana kwa zamu ya kipindi kimoja kila upande wa Muungano.

Pia kundi hilo limedai kuwa Waziri Mkuu atoke bara, kila upande uwe na rasilimali zake kama vile mafuta na madini, ulinzi wa nchi uwe wa pamoja, kuwe na mgawo sawa wa mabalozi nje ya nchi na kuwa na mgawanyo sawa wa misaada ya maendeleo.

Tamko la Jumiki
Kwa upande wake Msemaji wa kundi la Jumik, Sheikh Faridi Hadi Ahmad amekosoa vipeperushi hivyo akisema vimejaa uzushi.

Akizungumza na waandishi wa habari katika msikiti wa Mbuyuni mjini Zanzibar juzi, Sheikh Faridi alisema kundi hilo halina uhusiano na Upemba wala Uunguja.

“Hao ni wapuuzi na wazushi, kama wanataka Wapemba warudi kwao, basi wamwambie na Rais Ali Mohamed Shein naye aondoke, Yule si ni mwenyeji wa Pemba?” alihoji Sheikh Farid.

Alisema kundi hilo lilianzishwa kwa ushirikiano na wananchi kutoka Pemba na Unguja kwa malengo ya kueneza dini na masuala mengineyo.

Kuhusu kujihusisha na siasa, alisema kuwa Katiba ya Zanzibar na dini ya Kiislamu inaruhusu waumini wake kushiriki siasa.

“Katiba ya Zanzibar inasema kuwa kila mtu ana haki ya kushiriki kwenye uongozi wa nchi. Hata Mtume Muhammad (S.AW), alikuwa ni rais wa eneo lake na alikuwa kiongozi wa dini… Siasa ni neno la Kiarabu likiwa na maana ya uongozi na uongozi una mambo mengi. Kwa hiyo tuna haki kabisa ya kushiriki siasa,” alisema Sheikh Farid.

Katika hatua nyingine, kundi hilo limepinga hatua ya Jeshi la Polisi kuwakataza kufanya miahadhara kama kawaida yao.

Katika barua yao waliyomwandikia Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Uamsho wamelaumu hatua ya jeshi hilo huku pia wakimlaumu Waziri wa Nchi Katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohamed Aboud wakisema kuwa hana mamlaka ya kuwazuia kufanya hivyo.

Wameipongeza hotuba ya Rais Ali Mohamed Shein wakisema kuwa, haikukataza mihadhara badala yake alisisitiza amani.

Kamati ya Bunge
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Edward Lowassa amekemea vikali hali ya machafuko yaliyojitokeza hivi karibuni visiwani humo na kutamka kwamba amani ya nchi lazima ilindwe kwa gharama yoyote.

Lowassa, aliwapongeza Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein kwa kukemea vitendo viovu vilivyofanywa na baadhi ya watu kisiwani humo pamoja na kulinda usalama wa taifa.

Akizungumza jana wakati wa harambee ya ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Elerai, Lowassa alionya kwamba amani ya nchi haiwezi kuchewa na watu wachache.

“Amani ya nchi italindwa kwa gharama yoyote ile, hatuwezi kuona amani ya nchi tuliyonayo inachezewa na watu wachache wenye nia mbaya,” alionya Lowasa.

SOSI; Mwananchi

Nimefuatilia hii issue kule Zanzibar naona watu wote kule visiwani waunguja na wapemba wote wanaongelea ati Watanganyika ndio wanaofanya mambo ya fitna za kutaka kuiharibu amani ya Zanzibar yao..Hao jamaa wako kitu kimoja hakuna muunguja wala mpemba wote wamejipanga pamoja kutaka Zanzibar yao huru

:hug:......loading
 
Fatal,

Upemba na uUnguja utaonekana wazi pale Tanganyika itakapowekwa kando sasa hivi upo lakini wa kichini chini.

Nimefuatilia hii issue kule Zanzibar naona watu wote kule visiwani waunguja na wapemba wote wanaongelea ati Watanganyika ndio wanaofanya mambo ya fitna za kutaka kuiharibu amani ya Zanzibar yao..Hao jamaa wako kitu kimoja hakuna muunguja wala mpemba wote wamejipanga pamoja kutaka Zanzibar yao huru

:hug:......loading
 
Monday, 04 June 2012 09:05 0digg

Wacheni uongo na propaganda za chuk na uhasidi nyinyi Watanganyika dhidi ya WAZA'BARI, NI MWENDAZIMU GANI atakusikilizeni au hio ndio silaha yenu kubwa ya kututawala? Naona mmeshindwa na hamfanikiwi kwa hali yoyote ile.

Ikiwa Nyerere ni muabudiwa na ndie nabii wenu naona mmepotea ssaaana na ndio mkawa na dhambi ya wizi (RUSHWA) hadi leo hii kwa sababu ya kumtiii adui huyu wa Wazanzibri.

Almuhimu JAMHURI YA ZANZIBAR KWANZA, huo utumbo wenu baadae.
 
Watatoana roho hawa watoto tunaowalea km vifaranga yaani zanzibar!.....tusubiri wakati tu....wazanzibari na wazanazibara wataonekana muda si mrefu
 
Mzee Kawawa, Kombo na Karume hawakuwa na vyeti ya chuo kikuu lakini walikuwa na akili, karama na busara x700 zaidi ya Seif, Jussa na Lipuumba! Elimu na vyeti si hoja ndugu zangu...enyi Wapemba wauza simu na nguo pale kariakoo mpuuzeni Jussa. Akiwambia habari za muungano wa mkataba mzomeeni! Hakuna Zbz bila muungano. Mtabaguliwa Unguja!!
 
Back
Top Bottom