mzee kawawa, kombo na karume hawakuwa na vyeti ya chuo kikuu lakini walikuwa na akili, karama na busara x700 zaidi ya seif, jussa na lipuumba! Elimu na vyeti si hoja ndugu zangu...enyi wapemba wauza simu na nguo pale kariakoo mpuuzeni jussa. Akiwambia habari za muungano wa mkataba mzomeeni! Hakuna zbz bila muungano. Mtabaguliwa unguja!!
si wali uliwa na askari wa tanganyika...unajua wewe askari wa visiwani walinyanganywa silaha wakati ule?sasa ninyi wapemba,mbona hamtaki kukumbuka ya mwaka 2002 yaliyowapata chanzo ni huyo maalim seif,baada ya kuyakoroga alikimbilia nchini china,ndg zenu walibaki matatani,na wengine ni marehemu hata leo.tafakarini hayo.
kaka unapoeneza hizo pumba zako tumia neno mimi usitumie wabara, wabara hawafanyi upuuzi wa namna hiyo.Leo utataja majina yote ya wana UAMUSHO lakini sisi hatujali na mtajua wenyewe....hili mmeshalikoroga na lazima
mlinywe! Wabara kama wamarekani'huwa hatukurupuki kama nyinyi...Sasa tumewatupieni scud hilo kwanza...mkilitegua
hilo tunawatupieni na jingine, sasa tuone kama kutakalika kwenye hako kanchi. Chezea wabara wewe
Mzee moyo na karume salmin eddy lihami Juma duni hao wote hawataki Mfumo huu wa kikoloni je nao wapemba ? Chiki mnapandikiza nyie wachaga ili muendelee kuwatawala mbona nyie mlitaka kujitenga kilimanjaro Jibuni hoja za wazanzibar
Haha! Karume yupi? Unajifanya Hujuhi kuwa karume asili yake ni Uarabuni?
Na hata ndugu zake wengine ni raia wa huko?
Ukweli ulio wazi ni kuwa wapemba wanajiona wapo karibu sana na Uarabuni na Waunguja wanaona wapo karibu sana na Wabara, kwahiyo kazi ipo.
Wapemba naamini wapo tayari, sio muungano tu bali pia kuwa nchi moja na nchi za kiarabu na sioa kuwa karibu na wa africa.
Ukweli ulio wazi ni kuwa wapemba wanajiona wapo karibu sana na Uarabuni na Waunguja wanaona wapo karibu sana na Wabara, kwahiyo kazi ipo.
Wapemba naamini wapo tayari, sio muungano tu bali pia kuwa nchi moja na nchi za kiarabu na sioa kuwa karibu na wa africa.
Mzee Kawawa, Kombo na Karume hawakuwa na vyeti ya chuo kikuu lakini walikuwa na akili, karama na busara x700 zaidi ya Seif, Jussa na Lipuumba! Elimu na vyeti si hoja ndugu zangu...enyi Wapemba wauza simu na nguo pale kariakoo mpuuzeni Jussa. Akiwambia habari za muungano wa mkataba mzomeeni! Hakuna Zbz bila muungano. Mtabaguliwa Unguja!!