Nyerere alisema jeuri ya wazanzibar kujiita wazanzibari, inatokana na muungano. Pasipo muungano hakutakuwa na Zanzibar, badala yake kutakuwa na Unguja na Pemba. Hizi ni dalili tosha kwamba baada ya muungano kuvunjika, watabaguana tena. Kama nia yao ni kuikataa bara, kwanini wasiungane pamoja bila kujali uunguja na upemba kuikabili Tanganyika?
hilo la rais wa zamu zamu walisahau tu ..imekula kwao...kuwabeba beab kumeshaisha...(4) Rais wa Jamuhuri awe anapotikana kwa Zamu, kipindi kimoja upande
mmoja wa muungano na kipindi chingine upande mwengine wa muungano.
Hichi ndicho kitanzi cha muungano. Wakati wa Nyerere aliweza kulazimisha hili likatokea. Sasa watu wa Tanzania bara hawalitaki hili na ndicho kinachowauma watu wa Zanzibar. Halitaweza kuingizwa kwenye katiba mpya na bila hivyo sioni Zanzibar ikiikubali hiyo katiba mpya.
Hamna cha Upemba wala Uunguja. Ni longolongo tu. The buck stops here.
kuitafuta haki kuna gharama zake ndugu zangu, yatasemwa mengi sana ya uzushi ili kudhoofisha nguvu. waswahili husema ''UKITAKA KUONEKANA MBAYA DAI CHAKO''
Nyerere alisema jeuri ya wazanzibar kujiita wazanzibari, inatokana na muungano. Pasipo muungano hakutakuwa na Zanzibar, badala yake kutakuwa na Unguja na Pemba. Hizi ni dalili tosha kwamba baada ya muungano kuvunjika, watabaguana tena. Kama nia yao ni kuikataa bara, kwanini wasiungane pamoja bila kujali uunguja na upemba kuikabili Tanganyika?
Chunga kauli za ajabuajabu, una uhakika na hili unaloliandika? hasa hapo nilipoweka red. Usiusemee moyo wa mwenzako. Ufinyu wa kufikiri husababisha kutupa lawama kuwa shida ulizonazo zimesababishwa na mtu mwingine. Ulizaliwa tu na huna muda mrefu hapa duniani utakufa na utawaacha watu na maisha yao, usione vyaelea, vimeundwa kaka!!!!! watu walijitengenezea utaratibu wa maisha wakiumiza bongo zao, wakafanya mapinduzi na wakaunda muungano. Anyway, una fursa ya kutumia ubongo na sio maandamano ya kuvunja makanisa na kreti za bia eti umeukataa muungano, hii akili au matope, umekataa muungano na bia? jipangeni la sivyo mtaishia kupigwa virungu na kutoa machozi baada ya mabomu.Huu waraka kwa asilimia 100 haujaandikwa na UAMSHO bali umeandikwa na serikali ikishirikiana na ccm ili kuwagawa wanachi wa zanzibar katika jitihada zao za kuupinga muungano. Mimi niko Unguja na hakuna hata mkazi hata mmoja wa unguja anayeupenda muungano wao huu wa kinyonyaji.
dah ccm kweli mahodari kwa propaganda. jana niliziona zile karatasi zinagaiwa pale kisonge(maskani ya ccm) hao viongozi wa uamsho hakuna hata mmoja mpemba, sheikh mselem ni mdonge(unguja) juma musa aliekamatwa juzi akasababisha fujo mdonge(unguja) azzan mfenesini unguja, faridi mama yake pemba baba yake unguja. sasa sijui muamsho gani wanaosema wao! wanataka wawagawa wazenji ili wawastopishe na harakati za kudai zenji yao.