tanganyika yetu
Member
- Nov 23, 2011
- 45
- 17
Tumsifu Yesu Kristo. Waaraka wa Maaskofu bado haujawafikia na kusomwa kw waumini wa-Luteri Arusha kama ambavyo umewafikia na kusomewa waumini wa-Katoliki Arusha. Swali langu; huwo waraka haujawafikia wa-Luteri wa Arusha tu au ni Tanzania nzima? na kwanini mpaka dakika hii haujawafikia wa-Luteri na lini utawafikia? Naomba wahusika yaani viongozi wakuu wa thehebu la Ki-lutheri wanijibu.