tzjamani
JF-Expert Member
- Oct 9, 2010
- 995
- 30
Sishangai hii kutokea kwa NGWENDUHiyo ni trela tu. Na bado ukweli tajulikana tu. Kanisa lilijihusisha moja kwa moja na kumpigia kampeni slaa na wapambe wake.
Someni hiyo habari, bila shaka utakubaliana name na JK pia kulikuwa na udini. Wanachofanya hawa waumini nikuungama tu japokuwa wao wanajua wapo sahihi kabisa kwamba makasisi hao walitumia kanisa visivyo kila bila kujali kuwa waumini wake ni wa vyama tofauti. ANYWAY MTOTO HAKUI KWA MZAZI NA WALA HAWEZI KUMKOSOA MZAZI. kopy and pesti kwa hawa makasisi wa kanisa katoliki katika thread hii.
Hiyo ni trela tu. Na bado ukweli tajulikana tu. Kanisa lilijihusisha moja kwa moja na kumpigia kampeni slaa na wapambe wake.

Mkuu jibu kwa hoja na si kutukana. upiga debe wangu unakuhusu nini? Najua wengu mmelelewa na kanisa, lakini si wenzenu tunachowashauri ni kuwa muwe tayari kushiriana nasi katika nchi yetu. mmeongoza miaka karibia 50 sasa Tanzania haina maendeleo. kwahiyo kuweni wastaarabu kwani sote situnatawala kwa ajili yetu sote. sasa ubaya uko wapi kuongozwa na mtu asiyekuwa wadini yako. Tafakari, chukua hatua.Ulichoandika ni upuuzi tu - mpiga debe!
Mkuu jibu kwa hoja na si kutukana. upiga debe wangu unakuhusu nini? Najua wengu mmelelewa na kanisa, lakini si wenzenu tunachowashauri ni kuwa muwe tayari kushiriana nasi katika nchi yetu. mmeongoza miaka karibia 50 sasa Tanzania haina maendeleo. kwahiyo kuweni wastaarabu kwani sote situnatawala kwa ajili yetu sote. sasa ubaya uko wapi kuongozwa na mtu asiyekuwa wadini yako. Tafakari, chukua hatua.