Waume za watu acheni kuwafosi mabinti wawazalie watoto wa nje ya ndoa.

Akiwa na nyege anaweza kukuhaidi hata dreamliner kabisa na maneno kede kede, mwambie una mimba mshituko atakoupata hafu anaanza kukata mazoea kabisa yani loh. Mi mwenyewe siwashauri wanawake wenzangu kuzalia mume wa mtu wakifikiri wanapendwa ka kamsaliti mtu aliyekula kiapo na wanaoishi nao 24/7 sembuse mchepuko anaokuficha ka INI tumboni loh. Hamisa alivokanwa na kuzalilishwa na matusi ya jamii nzima ni fundisho nadhani ana regret
Yes tatizo wanawake hatujifunzi
Ila hawa wenzetu wa kuishi nao kwa akil sana
 
Heeeh balaa tupu ngoja angekutengeneza asisimame tena milele cha moto ungekiona huku michepuko huwa ni mahangaiko tu ya kuangamiza familia aisee, imagine mobetto alienda kuloga eti apendwe zari atelekezwe zaidi ya kumvuruga diamond mpaka kakongoroka kisa mahusiano kuvunjika wamebaki kukomoana na kuzalilishana tu
We acha tu mama watoto anaandaa kila aina ya lishe.kitu hakisimami;ikabidi aniulize tatizo nini.....michepuko inaharibu familia mkuu
 
Inaelekea huyo mwanaume hana hela za kutosha tuuu..... nakuhakikishia kama ana hela za maana za kuweza kukufungulia biashara ya maana na kukujengea pamojaa na usafiri ukiweka na vacation za Paris na malibu aisee tena unajishikisha mimba kwa nguvu bila kuambiwa. Tusidanganyane mzee mama.
Kwani mie na angalia malezi ya mwanangu na sio vacation za Malibu baadae mwanangu akanwe akose mda na babake huku watoto halali wakipata upendo wa wazazi wote huko si ndo kumtesa mtoto
 
Back
Top Bottom