Waume za watu acheni kuwafosi mabinti wawazalie watoto wa nje ya ndoa.

Yes,sema ukikaa nao muda kidogo wanaanza kujisahau na kukupa majukumu ya mke
Wanasau mchepuko is for starehe only
Waume za watu wa kitz nawaasa kama mna michepuko acheni kuwafoc wawazalie
Uzazi kwa mkeo,na starehe kwa mchepuko that's the general rule
Msiwape michepuko majukumu ya wake zenu mlowatolea mahari kwani hamna haki hiyo.
Yani wakinogewa hu force kweli yani hasa umzalie hafu anakuficha eti mkewe asijue na majukumu mengine kabisa, wajue michepuko hawataki shida sasa akuzalie wewe huku hajaolewa ili iweje, hafu yake na mkewe yakinyoka ana focus na familia yake, I can't risk life ya mtoto wangu kuwa side kid aisee, wakome kushurutisha kuzaliwa mtoto huo ni usaliti mkubwa mno.

Anataka mtoto bora atangazie jamii na sio kuficha na mkewe ajue
 
Inategemea mkuu mim ni (me),mchepuko unataka uzae na mimi;lakini nikiangalia watoto wangu na mama yao nafsi inanisuta.Mwisho wa siku mchepuko ninampiga kalenda tu,kwa kumpa maneno ya faraja kama vile hadi hapo nitakapoweza kufanikisha kumuwekea kibanda cha kujistiri ndio nitampa ujauzito.Na hata wakati mwingine ahadi za kukutana naye nimepunguza,kwa sababu najua nikiweka uzao hapo,si ajabu maisha yangu yakavurugika.
 
Yani kwanini na wewe ulazimishwe hii kuzaa nje ya ndoa kumevunja mahusiano mengi, na kumweka mtoto dillema. Wanaume ni source yani nyie waume za watu kwa Ku force mzaliwe huku mnajua hamuwezi oa, kwahyo mwanao akalelewe na step daddy
Wanaume si lazima wawe source, mimi binafsi nilishavunja uhusiano na wanawake wawili ktk nyakati tofauti wakitaka nizae nao wakati wanajua fika ni michepuko tu na walikuwa na kazi zao nzuri tu.
 
Tena nuksi kwa familia ila wanaume ndo waona sifa hafu kikibuma anamkana mtoto na mama na matunzo hatoi
Yep hutoamin kama ndo yule alokuwa anakupa bata kama zoteee,wasichana na wanawake wenzangu twafadhal msikubali kuzalishwa na waume ama mabwana za wenyewe.
Watoto zenu watadhalilishwa na kukanwa mchana kweupeee,jifunzeni kwa mobeto
Mkiuza mechi kuna vidonge p2 masaa 72 unakuwa sawa
Hawa wanaume hawana muamana,akili zao wakiwa kifuani na zinapotokea Mimba ni tofautii
Natamani ningekuwa inspirational speaker ningewafunza kukwepa Mimba zisizotakiwa,kama wao wanado for funny why can't we?usikubali ulete kiumbe cha kufichwa ama kukataliwa na baba yake
 
Wanapenda mteremko hao
Kama hutaki kuzaa na mwanamke Huwezi zaa simple,tatizo wanawaza kukojoa halafu Mimba zikija wanakimbia majukumu
Yani kwanini na wewe ulazimishwe hii kuzaa nje ya ndoa kumevunja mahusiano mengi, na kumweka mtoto dillema. Wanaume ni source yani nyie waume za watu kwa Ku force mzaliwe huku mnajua hamuwezi oa, kwahyo mwanao akalelewe na step daddy
 
Inategemea mkuu mim ni (me),mchepuko unataka uzae na mimi;lakini nikiangalia watoto wangu na mama yao nafsi inanisuta.Mwisho wa siku mchepuko ninampiga kalenda tu,kwa kumpa maneno ya faraja kama vile hadi hapo nitakapoweza kufanikisha kumuwekea kibanda cha kujistiri ndio nitampa ujauzito.Na hata wakati mwingine ahadi za kukutana naye nimepunguza,kwa sababu najua nikiweka uzao hapo,si ajabu maisha yangu yakavurugika.
Na usijiloge kuzaa naye ka unataka Amani ya familia akishaanza anaanza kuja kwa mkeo, kumbe kuna wanawake wa naomba kuzaa na mume wa mtu kabisa kiruuu, mchepuko ni ya kupumzika tu, do it at ur own risk
 
Yes wewe ni mwanaume jarisi
Ongea naye vizuri na hakikisha kila ukikutana naye una zana na uzidispose mwenyewe,manake ukimwachia azidispose aweza jimwagia mbegu afu ujute
Please usizae nje mnaadhir watoto sana kisaikologia
Chepuka but usizae
Inategemea mkuu mim ni (me),mchepuko unataka uzae na mimi;lakini nikiangalia watoto wangu na mama yao nafsi inanisuta.Mwisho wa siku mchepuko ninampiga kalenda tu,kwa kumpa maneno ya faraja kama vile hadi hapo nitakapoweza kufanikisha kumuwekea kibanda cha kujistiri ndio nitampa ujauzito.Na hata wakati mwingine ahadi za kukutana naye nimepunguza,kwa sababu najua nikiweka uzao hapo,si ajabu maisha yangu yakavurugika.
 
Wanaume si lazima wawe source, mimi binafsi nilishavunja uhusiano na wanawake wawili ktk nyakati tofauti wakitaka nizae nao wakati wanajua fika ni michepuko tu na walikuwa na kazi zao nzuri tu.
Bora ulifanya hivo maana kuzaa na mume wa MTU ni kumnyima mtoto haki na kuvunja familia mtoto anahtaji malezi ya wazazi wawili sasa kulelewa ki single mom kumtesa mtoto
 
Na usijiloge kuzaa naye ka unataka Amani ya familia akishaanza anaanza kuja kwa mkeo, kumbe kuna wanawake wa naomba kuzaa na mume wa mtu kabisa kiruuu, mchepuko ni ya kupumzika tu, do it at ur own risk
Ni kweli mkuu huwa ni balaa,kuna siku nimekutana nae nikakaa naye siku 2;nimerudi kwa mama watoto wangu jogoo asimami;tangu siku hiyo nikawa nampiga kalenda tu hadi leo hii.
 
Yep hutoamin kama ndo yule alokuwa anakupa bata kama zoteee,wasichana na wanawake wenzangu twafadhal msikubali kuzalishwa na waume ama mabwana za wenyewe.
Watoto zenu watadhalilishwa na kukanwa mchana kweupeee,jifunzeni kwa mobeto
Mkiuza mechi kuna vidonge p2 masaa 72 unakuwa sawa
Hawa wanaume hawana muamana,akili zao wakiwa kifuani na zinapotokea Mimba ni tofautii
Natamani ningekuwa inspirational speaker ningewafunza kukwepa Mimba zisizotakiwa,kama wao wanado for funny why can't we?usikubali ulete kiumbe cha kufichwa ama kukataliwa na baba yake
Akiwa na nyege anaweza kukuhaidi hata dreamliner kabisa na maneno kede kede, mwambie una mimba mshituko atakoupata hafu anaanza kukata mazoea kabisa yani loh. Mi mwenyewe siwashauri wanawake wenzangu kuzalia mume wa mtu wakifikiri wanapendwa ka kamsaliti mtu aliyekula kiapo na wanaoishi nao 24/7 sembuse mchepuko anaokuficha ka INI tumboni loh. Hamisa alivokanwa na kuzalilishwa na matusi ya jamii nzima ni fundisho nadhani ana regret
 
Inaelekea huyo mwanaume hana hela za kutosha tuuu..... nakuhakikishia kama ana hela za maana za kuweza kukufungulia biashara ya maana na kukujengea pamojaa na usafiri ukiweka na vacation za Paris na malibu aisee tena unajishikisha mimba kwa nguvu bila kuambiwa. Tusidanganyane mzee mama.
 
Ni kweli mkuu huwa ni balaa,kuna siku nimekutana nae nikakaa naye siku 2;nimerudi kwa mama watoto wangu jogoo asimami;tangu siku hiyo nikawa nampiga kalenda tu hadi leo hii.
Heeeh balaa tupu ngoja angekutengeneza asisimame tena milele cha moto ungekiona huku michepuko huwa ni mahangaiko tu ya kuangamiza familia aisee, imagine mobetto alienda kuloga eti apendwe zari atelekezwe zaidi ya kumvuruga diamond mpaka kakongoroka kisa mahusiano kuvunjika wamebaki kukomoana na kuzalilishana tu
 
Back
Top Bottom