Waume za watu acheni kuwafosi mabinti wawazalie watoto wa nje ya ndoa.

We acha tu mama watoto anaandaa kila aina ya lishe.kitu hakisimami;ikabidi aniulize tatizo nini.....michepuko inaharibu familia mkuu
Maskini mama mwenye mji anajichosha kumbe unajua tatizo loh. Sasa alipokuuliza ukamjibu mchepuko au? Mi ningekuwa mkeo ningekwamhia acha michepuko nakujua eeeh na kutokufanya kazi hyo kitu inawaathiri mno wanaume kisaikolojia
 
Hapana hela anayo kiasi
Ila bahili sana halafu mkewe kashika ujauzito bila kumshirikisha so kumlipiza ananifoc nami nizae,si mtihani huu? Nimetoka baluu hajaamini
Inaelekea huyo mwanaume hana hela za kutosha tuuu..... nakuhakikishia kama ana hela za maana za kuweza kukufungulia biashara ya maana na kukujengea pamojaa na usafiri ukiweka na vacation za Paris na malibu aisee tena unajishikisha mimba kwa nguvu bila kuambiwa. Tusidanganyane mzee mama.
 
Nilipata tiba ya asili,kwa sababu kwake napata hisia ila kwa mama watoto hakuna.baada ya hapo sasa hivi tunapigana kalenda tu;akisema yuko huku mimi nasema niko safari
Aisee una bahati kuna jambo alifanya ili ndoa ivunjike vile alitaka umuoe kinguvu, mchepuko usojielewa huo sasa unamharibu bebi mchepuko manhood yake ili iweje huyo alikuwa nunda na ni hatari sana aisee, usijiloga urudie tena hyo hali
 
Hapana toka naanza kazi wamekuwa wananiganda wenyewe,na nilikuwa nakataa sema inafika kipindi kama binadam najikuta naingia mtegoni,wa mwanzo alikuwa mstaarabu sana very loving,ananipa hela kuspend ila aliniweka wazi no kuzaa wala mkewe asijue,tulikaa pamoja for 2 years akahamishwa, then nikampata huyu kufatilia naye kaoa,tatizo anafoc nimzalie wakat siko tayar,hivo tu yani
Kumbe ni hulka yako
 
Vijana wenzio tupo sasa zam yetu
 
Aisee una bahati kuna jambo alifanya ili ndoa ivunjike vile alitaka umuoe kinguvu, mchepuko usojielewa huo sasa unamharibu bebi mchepuko manhood yake ili iweje huyo alikuwa nunda na ni hatari sana aisee, usijiloga urudie tena hyo hali
Yep alitaka kuwa maza hausi hahahah
 
Ndyoooooooooo bora umeileta hiii....jamani mpk kero eti oooh Mimi mke wangu hana kizazi naomba unizalie ....nyinyi wanaume nyinyi aliweaambia hilo jambo ni rahisi kama kumsukuma mlevi nani?
 
Si ndio hapo
Afu akija mtoto no matunzo,no kuonekana,wanapotea ghafla
Michepuko is for fun not kuzaa waelewe hilo
Ndyoooooooooo bora umeileta hiii....jamani mpk kero eti oooh Mimi mke wangu hana kizazi naomba unizalie ....nyinyi wanaume nyinyi aliweaambia hilo jambo ni rahisi kama kumsukuma mlevi nani?
 
Mbona umecheka nyie wivu huwafanya mumkomoe sisi na mimba eti ili tutulie
Sio hivyo mkuu,mtu akiwa na mimba kudeka kwingi,na kuna wakati anahitaji faraja ya aliyempa ujauzito;sijui hapoinakuwaje sasa.
 
Si ndio hapo
Afu akija mtoto no matunzo,no kuonekana,wanapotea ghafla
Michepuko is for fun not kuzaa waelewe hilo
Kuna keeeenge mmoja mkewe hazai basi kutwaaa nizalieeee sijui nifanyajeeee nimemwambia nioe nkuzalie ...anadai oooh ntakupa nyumba sijui ntakununulia gari nipe heshima hihihihihih nimemwambia baba niache na umaskini wangu sio rahisi kama unavyofikiria......
Halafu akienda kwa mkewe hataki kupigiwa simu me nataka kufichwafichwa kama ARV?????kwa kweli huu ujinga wauache
 
Back
Top Bottom